Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
migogoro gani tena mbatia acha upotoshaji.
Pia soma Mbatia aibwaga NCCR Mageuzi mahakamani
James Mbatia ameanza kuzungumza na waandishi wa habari, itakumbukwa hivi karibuni alishinda rufaa yake aliyokata dhidi ya chama cha NCCR Mageuzi.
Ameanza kwa kueleza kuwa amepanga kuzungumzia migogoro na hofu zinazoendelea nchini hivi sasa katika nyanja mbalimbali.
Cccm noma sana ongeza Mabere Marando, Augstine Mrema na Masumbuko LamwaiIliwai kutokea Wasira,Mbatia,Lisu na Hashim Rungwe wote walikua NCCR,na bado CCM ilitamba.l😅
ilitamba kwa kuiba kuraIliwai kutokea Wasira,Mbatia,Lisu na Hashim Rungwe wote walikua NCCR,na bado CCM ilitamba.l😅