Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
Huyo msaliti wa nini,acha apigwe chini
Sasa mkuu unatuwkea namba yako ili tuifanyie nini? Maana mada haiendani kabisa na kutoa namba ya simu
Mmechukia nini? Mbatia kushinda ununge?Kwanini wasiwapishe CCM wenzenu?
Mziki umeacha Mkuu? Naona umehamia kwenye siasa sasa.Namba yangu ya simu ili Kama hujarizika unipigie.
"ununge" ni nini?Mmechukia nini? Mbatia kushinda ununge?
Mbatia hamuwezi Dr Kimei!
Pale hafai mbatia wala kimei inatakiwa mbunge wa Cham tofauti na hivyo viwili
"ununge" ni nini?
Mziki umeacha Mkuu? Naona umehamia kwenye siasa sasa.
2015 hioHapo tutaangalia kama Kweli mbowe ni mpinzani au pandikizi la CCM maslahi kama ninavyomjua!!
Mpinzani mwenye nguvu kama Mbatia hakuna haja kwa upinzani kumpiga vita ili hali mateso yao yote yanesababishwa na CCM ya Bashiru na watu wengine wawili!!
Itakua ni aibu kubwa kwa mkoa wa Kilimanjaro kupoteza majimbo ya upinzania baada ya Ndesamburo kuondoka.
Kazi yabkujenga Upinzani iliyofanywa na Watu kwa muda mrefu itakua imepotea
Hapo tutaangalia kama Kweli mbowe ni mpinzani au pandikizi la CCM maslahi kama ninavyomjua!!
Mpinzani mwenye nguvu kama Mbatia hakuna haja kwa upinzani kumpiga vita ili hali mateso yao yote yanesababishwa na CCM ya Bashiru na watu wengine wawili!!
Itakua ni aibu kubwa kwa mkoa wa Kilimanjaro kupoteza majimbo ya upinzania baada ya Ndesamburo kuondoka.
Kazi yabkujenga Upinzani iliyofanywa na Watu kwa muda mrefu itakua imepotea
Hata me sijaelewa sababu ya kuweka namba. Labda amemuwekea Mbatia ili amtumie 7000 yake ya kumpigia debe.Sasa mkuu unatuwkea namba yako ili tuifanyie nini? Maana mada haiendani kabisa na kutoa namba ya simu