1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Kwenda na kutokwenda ni mbinu za kisiasa.Mbatia CCM B na kuna majimbo ya kupewa walishaandaliwa na ccm
Hata Mbowe walikwenda wakati wa JK ili hali Slaa alipigwa akavunjwa mkono!!
Na mke wake kutiwa mangeu usoni lakini walienda kunywa chai ikulu.
Siasa ni mchezo usio na adui wala rafiki wa Kudumu.
Hata Kinana ataipigia kampeni CCM lakini ni majeruhi wa kisiasa wa utawala wa awamu inayodhaniwa kuwa ni ya Tano nyuma ya zamani.