Uchaguzi 2020 James Mbatia (NCCR-Mageuzi) v Charles Kimei (CCM) - Jimbo la Vunjo

Uchaguzi 2020 James Mbatia (NCCR-Mageuzi) v Charles Kimei (CCM) - Jimbo la Vunjo

We mwenyewe laghai.
Hakika wala hujakosea.
tapatalk_1577354951190.jpg
 
Attachments

  • IMG-20200902-WA0000.jpg
    IMG-20200902-WA0000.jpg
    91.2 KB · Views: 1
Urafiki wako na Mbatia umerejea kumbe? Kila la kheri katika majukumu yako hayo mapya.
Huu urafiki wao ni shida:Mmoja hapo inasemekana sio rizki mwingine hapo ametoka milembe juzi.

Combination ya watu hao ni lazima washike dola 2020.
 
james mbatia ni mpinzani ??
Ndio , kwa sababu hajashika Dola.
Hata yeye anatamani awe mbunge kupitia upinzani.
Angekua sio mpinzani angeachiwa na CCM.

Hata CUF ni wapinzani japo ni wapinzani wanaotafuta urahisi wa kisiasa kwa kujipendekeza kwa CCM .
Ndio maana CCM hakuna jimbo wala kata ilipowaachia CUF wala NCCR.
Hii mambo ya kuviita vyama vingine mapandikizi ni siasa za kijuha.
Kila mtu ana Uhuru wa kuamua namna yake ya kuendesha siasa yake

Wapinzani wote wanatafuta tume huru na uchaguzi huru na haki.
Hivyo hawana sababu ya kupingana wazi wazi na kuipa unafuu CCM.
Kuna Mtu anaitwa Kambaya yeye kwake muda wote ni Chadema tu utafikiri Chadema ndiyo inayotawala na kuvuruga Demokrasia.

Tatizo la CCM ya magufuli sio kubwa kwenye kujenga nchi tatizo ni kumwacha Polepole ,Musiba , Kheri James, Bashiru waivuruge nchi kwa kufanya mambo maovu ya kuhamasisha ukiukwaji wa haki za binadamu.
 
Chadema ni wabinafsi sana kuviita vyama vingine majina ya ajabu ni hujuma na akili ya hovyo
 
Hapo tutaangalia kama Kweli mbowe ni mpinzani au pandikizi la CCM maslahi kama ninavyomjua!!

Mpinzani mwenye nguvu kama Mbatia hakuna haja kwa upinzani kumpiga vita ili hali mateso yao yote yanesababishwa na CCM ya Bashiru na watu wengine wawili!!

Itakua ni aibu kubwa kwa mkoa wa Kilimanjaro kupoteza majimbo ya upinzania baada ya Ndesamburo kuondoka.
Kazi yabkujenga Upinzani iliyofanywa na Watu kwa muda mrefu itakua imepotea
Mbatia toka lini ni mpinzani juzi kati alienda ikulu
 
Mbatia CCM B na kuna majimbo ya kupewa walishaandaliwa na ccm
 
Mbatia aliahidiwa majimbo 20 na magufuli, awaombe ccm wamuachie jimbo la vunjo.
 
NCCR Mageuzi Jimbo la Hai hawajasimamisha mgombea ili kumpisha Mwenyekiti wa CHADEMA na hivyo hivyo tunategemea CHADEMA wote wataelekeza nguvu zao zote kumpigia kura Mbunge James MBATIA kupitia NCCR MAGEUZI. Uongozi nikuachiana madaraka na kulindiana heshima

#DON NALIMISON
Simu Na. 0682 94 29 01.

Huu ni mkutano wa ufunguzi wa kampeni wa Joseph Selasini. Kajaza watu hadi raha.
Screenshot_20200903-203414.jpg
 
Kwanini wagombanie jimbo wakati wote ni chama kimoja? au ile formula ya if A=B , and B=C, then A=C siyo sahihi?
 
Kwani kwenda ikulu ni dhambi?mbona mbowe na kikundi chake walienda na juisi,chai wakanywa.

Kunya anye kuku akinya bata kaharisha
Mbatia toka lini ni mpinzani juzi kati alienda ikulu
 
NCCR Mageuzi Jimbo la Hai hawajasimamisha mgombea ili kumpisha Mwenyekiti wa CHADEMA na hivyo hivyo tunategemea CHADEMA wote wataelekeza nguvu zao zote kumpigia kura Mbunge James MBATIA kupitia NCCR MAGEUZI. Uongozi nikuachiana madaraka na kulindiana heshima

#DON NALIMISON
Simu Na. 0682 94 29 01.

Huyo alishafika bei. Sawa na lipumba
 
NCCR Mageuzi Jimbo la Hai hawajasimamisha mgombea ili kumpisha Mwenyekiti wa CHADEMA na hivyo hivyo tunategemea CHADEMA wote wataelekeza nguvu zao zote kumpigia kura Mbunge James MBATIA kupitia NCCR MAGEUZI. Uongozi nikuachiana madaraka na kulindiana heshima

#DON NALIMISON
Simu Na. 0682 94 29 01.

Mbatia haeleweki na amelisahau jimbo.
 
Back
Top Bottom