Kwenda na kutokwenda ni mbinu za kisiasa.
Hata Mbowe walikwenda wakati wa JK ili hali Slaa alipigwa akavunjwa mkono!!
Na mke wake kutiwa mangeu usoni lakini walienda kunywa chai ikulu.
Siasa ni mchezo usio na adui wala rafiki wa Kudumu.
Hata Kinana ataipigia kampeni CCM lakini ni majeruhi wa kisiasa wa utawala wa awamu inayodhaniwa kuwa ni ya Tano nyuma ya zamani.