dolevaby JF-Expert Member Joined Aug 25, 2013 Posts 12,958 Reaction score 9,516 Aug 29, 2021 #141 BAK said: Ni kweli japo mimi humuona ni msaliti wa upinzani ameongea kwa uchungu sana labda itakuwa mwanzo wa kukataa kutumika na wahuni wa maccm. Click to expand... Mjinga alidanganywa na Jiwe angempa wabunge akasaliti wenzie Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
BAK said: Ni kweli japo mimi humuona ni msaliti wa upinzani ameongea kwa uchungu sana labda itakuwa mwanzo wa kukataa kutumika na wahuni wa maccm. Click to expand... Mjinga alidanganywa na Jiwe angempa wabunge akasaliti wenzie Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
dolevaby JF-Expert Member Joined Aug 25, 2013 Posts 12,958 Reaction score 9,516 Aug 29, 2021 #142 John7371 said: Katiba mpya ndiyo majibu pekee kaka,kukiwa na katiba mpya hawa CCM hawana maajabu Click to expand... Ndio maana hawataki ukitaja Katiba wanakupa kesi Ila wajue ni habari ya muda tu Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
John7371 said: Katiba mpya ndiyo majibu pekee kaka,kukiwa na katiba mpya hawa CCM hawana maajabu Click to expand... Ndio maana hawataki ukitaja Katiba wanakupa kesi Ila wajue ni habari ya muda tu Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
4 4 7mbatizaji JF-Expert Member Joined Dec 8, 2019 Posts 8,406 Reaction score 9,619 Aug 29, 2021 #143 Ameongea vizuri ,MUNGU ananiambia nisimuani Sana , sijui KWa nini ila Najua Mungu wangu yupo up to date BAK said: Je, ni akina nani wanaomhujumu Samia? Axis of Evil AKA timu dhalimu mwendazake!? Click to expand...
Ameongea vizuri ,MUNGU ananiambia nisimuani Sana , sijui KWa nini ila Najua Mungu wangu yupo up to date BAK said: Je, ni akina nani wanaomhujumu Samia? Axis of Evil AKA timu dhalimu mwendazake!? Click to expand...
S Stan Mashamba JF-Expert Member Joined Apr 22, 2020 Posts 3,183 Reaction score 2,479 Aug 29, 2021 #144 BAK said: Je, ni akina nani wanaomhujumu Samia? Axis of Evil AKA timu dhalimu mwendazake!? Click to expand... Ukiona majani ya miti yameanza kupukutika ujue mvua nzito iko njiani.
BAK said: Je, ni akina nani wanaomhujumu Samia? Axis of Evil AKA timu dhalimu mwendazake!? Click to expand... Ukiona majani ya miti yameanza kupukutika ujue mvua nzito iko njiani.
K kalonji JF-Expert Member Joined Feb 17, 2021 Posts 6,300 Reaction score 8,152 Aug 29, 2021 #145 Mzazi anajisikiaje kuzaa watoto wa hovyo hovyo walioleta tozo zinazomuumiza watz