Said Stuard Shily
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 2,396
- 2,108
Je, ni akina nani wanaomhujumu Samia? Axis of Evil AKA timu dhalimu mwendazake!?
Sijamaliza kusikiliza mpaka lkn uwezo wa kufikiri wa Mbatia unapungua kwa Kasi ya mwendo wa Jet
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je, ni akina nani wanaomhujumu Samia? Axis of Evil AKA timu dhalimu mwendazake!?
Mwenyewe najiuliza hiyo awamu anayoita ya sita kaitoa wapi wakati kikatiba ye anamalizia awamu ya Rais aliefariki kabla ya kumaliza mda wake!Niliwahi kusema toka Siku anaapishwa kuwa tunaenda kuwa na a Ceremonial or default President. Mpaka sasa hapo alipo huwezi kumuelezea kwa jambo lolote. Anadai Awamu yake Ni ya Sita. Muulize Ni awamu ya kwenda wapi hawezi kukupa majibu. Mahojiano Yake na Kikeke yalishindwa kumbainisha Ni Raisi anayejitambulisha kwa jambo gani.
Akiwaondoa ndio atapata akili au atakuwa na uwezo?Sasa inakula kwake avunje Baraza la Mawaziri kisha awapige chini wote timu dhalimu mwendazake AKA Axis of Evil wanaoongozwa na Mwigulu Nchemba.
Akipata watu wanaomtii ndio kichwa yake itaongezewa akili?Angekuwa na akili hata ndogo, angeteua Baraza lake la Mawaziri. Awe na watu waomtii yeye na siyo watu wanaomtii yule aliyezikwa kule Chattle.
Je, ni akina nani wanaomhujumu Samia? Axis of Evil AKA timu dhalimu mwendazake!?
Yamemshinda. Mkuu.Hahujumiwi na mtu, yeye mwenyewe anazingua
Anafiti sana kwenye mitala , picha inajieleza. Tumepigwa wajemeni..!
Mwanamke haaminiki popoteAnapwaya tu. Hahujumiwi. Hana calibre ya kuongoza Taifa. Haya mambo ya usawa wa kijinsia (+corona) vimemsaidia kufika hapo. Magufuli alisema kuwa alitaka mgombea mwenza awe mtoto wa Mwinyi. Magufuli akaamua kumpa Samia tu kwa vile ni mwanamke.
Katiba yetu inampa madaraka makubwa sana Rais. Kama ana akili ya kuyatumia vizuri, basi anafika mbali. Huyu mama hana hiyo akili kabisa. Mpaka 2025 hakuna mtu atakuwa na imani na wanawake tena kwenye nafasi kubwa za uongozi kama hiyo. Anawaharibia akina mama wote.
[emoji2][emoji2]Mwenzenu yuko huko Zanzibar sijui kwenye tamasha gani hata hana habari, akirudi Dsm akajipake hina ikulu, ale urojo, alale.
Kwamba samia haishi kwenye ndoa ya mitala?Mkuu uwe na adabu na mdomo wako wenye KEDI NA DHIHAKA.....
Tatizo kubwa la Nchi hii ni ccm sema wadanganyika wengi hawataki kuaminiTumepigwa mchana peupeeee
Then what...?? she can not do anythingMh. James Mbatia said it all. A very strong speech. I hope Samia is watching/listening.
Mbowe amekujaje humu?? acha UFALAnsaKweli [emoji12]
Msubiri Mbowe akuteue "ndotoni"....
Katiba mpya ndiyo majibu pekee kaka,kukiwa na katiba mpya hawa CCM hawana maajabuTatizo kubwa la Nchi hii ni ccm sema wadanganyika wengi hawataki kuamini
Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app