hakuna tusi hapo wewe!! Acha KUDEMKA!!!
Alikuwa anataka kumaanisha nini kati ya mifuko ya michezo na matiti na kuolewa. Mimi sijaelewa hapo ni harakati fulani za kidini ama wapigani haki ama ilikuwa nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna tusi hapo wewe!! Acha KUDEMKA!!!
Je, ni akina nani wanaomhujumu Samia? Axis of Evil AKA timu dhalimu mwendazake!?
Alikuwa anataka kumaanisha nini kati ya mifuko ya michezo na matiti na kuolewa. Mimi sijaelewa hapo ni harakati fulani za kidini ama wapigani haki ama ilikuwa nini?
Mkuu karibu kujiongeza kidogo. Huyu sio muda wa mizaha tena. Polisi wameuawa na Hamza kauawa. Hawa wote ni Watz wenzetu waliokuwa na michango kwenye familia zao na kwetu pia kama Watz.Mbatia aache kudhihaki Jeshi letu la Polisi.
aache kubwabwaja afuate taratibu.
pia namshauri aache kuingilia Mahakama maana kesi ya rafiki yake , Mbowe ipo Mahakamani hivyo hatakiwi kusema eti Mbowe sio Gaidi wakati Mahakama haijaamua.
Kama nchi yetu isinge kuwa na utawala wa sheria basi Mbowe asinge fikishwa Mahakamani.
Mbatia anapaswa aheshimu vyombo vilivyopo kwa mujibu wa sheria.
maridhiano ya kitu gani anayo dai kama sio kusaka madaraka?!
tunamshauri Mbatia atulie asijifanye mjuaji sana mwishowe atajiharibia kila kitu.
aache kuwadanganya na kuwahadaa watanzania eti Rais anahujumiwa! ebo!
Mbatia alipaswa akalale kwanza hasira zipungue najua milioni 10 za maandalizi zimemuuma sana haswa ukizingatia ni mchaga kwa pesa![emoji1787], yote kwa yote Mbatia alipaswa afuate utaratibu, Polisi sio wajinga kumzuia kuna sababu ya msingi ambayo Mbatia anaikwepa kuielezea na akaamua kupotosha.
Pole sana Mzee Mbayia lkn siku nyingine usi zungumze wakati unahasira au sukari ikipanda.
Hao wote ndio wanaommaliza.Samia ni fungu la kukosa , anaweza mitala tu . Nchi inahitaji uponyaji hii.
Samia amemwachia Nchi Mwigulu Mpango na Majaliwa.
Huyu bibi huyu ni bure kabisa.
Je, ni akina nani wanaomhujumu Samia? Axis of Evil AKA timu dhalimu mwendazake!?
Huyo Zandrono ni ID za kulipwa ni watu wakuropoka ropoka tu mradi analipwa.Mkuu karibu kujiongeza kidogo. Huyu sio muda wa mizaha tena. Polisi wameuawa na Hamza kauawa. Hawa wote ni Watz wenzetu waliokuwa na michango kwenye familia zao na kwetu pia kama Watz.
Sasa kejeli zako hazina maana hata kama wewe ni sehemu ya wanufaika wa matendo haya maovu au pia wewe ni sehemu ya Polisi. Hatujui ni Nani atafuata Kati yangu Mimi na wewe au na Yule/wale baada ya wale waliokwishatangulia.
Polisi wafanye kazi zao Kwa mujibu wa sheria. Mahakama itekeleze majukumu yake kama ilivyoainishwa kwenye Katiba ya Nchi. Vivyo hivyo na Wanasiasa watekeleze majukumu yao Kwa mujibu wa sheria.
Haya yote yanayotokea hivi sasa yanassababishwa na CCM Kwa kuyaingilia mihimili mingine na kuyapangia namna ya kutekeleza majukumu yao. Kuna siku vyombo vya dola vitagomea CCM ktk maagizo yao. Ama wale wote watakaokuwa wamechoshwa watatatenda kama alivyotenda Yule Kada Mtiifu wa CCM yaani Mwamba Hamza.
Na kwa sasa hawezi tena.Tulimshauri awaondoe sukuma gangs akawa mbishi
Mkuu uwe na adabu na mdomo wako wenye KEDI NA DHIHAKA.....
Niliwahi kusema toka Siku anaapishwa kuwa tunaenda kuwa na a Ceremonial or default President. Mpaka sasa hapo alipo huwezi kumuelezea kwa jambo lolote. Anadai Awamu yake Ni ya Sita. Muulize Ni awamu ya kwenda wapi hawezi kukupa majibu. Mahojiano Yake na Kikeke yalishindwa kumbainisha Ni Raisi anayejitambulisha kwa jambo gani.
Je, ni akina nani wanaomhujumu Samia? Axis of Evil AKA timu dhalimu mwendazake!?
Poponarism....Kitengo kimetema checheKuiongoza nchi ambayo raia wake(sisi ,wasomi na baadhi ya viongozi) tuna hulka ya "kwenda na upepo" na kuwa MABINGWA WA MANENO MDOMONI...ni kazi sana....
Ukitaka utujue watanzania basi ziangalie nguvu za USHAWISHI za Komredi Haji Manara.......
So what to do.....
Hayati JPM alitujua vyema tabia zetu....kuna kipindi alionekana "MKALI KUPITILIZA" ila hulka yake iliweza KUWATULIZA VYEMA VIONGOZI WA CHINI YAKE.....
Mh.Kikwete alikuwa ni mwanademokrasia aliyewaamini sana VIONGOZI WALIO CHINI YAKE....ila kuna maeneo walimuangusha vyema tu.....
WENGI WA WATANZANIA HATUPENDI KUJISIMAMIA+KUJIONGOZA MAMBO YETU BALI tunapenda SANA KUSIMAMIWA.....
Eee Mwenyezi Mungu endelea kumpa nguvu KUBWA kipenzi chetu mh.Rais SSH ,aaaamin aaaamin 🙏
SIEMPRE JMT
SIEMPRE SSH💪
Una kiherehere kama cha UMURUSHAKA....KAISHO kisuburia ntakuwa Rumanyika..nyaanoHaya umeshafika "orgasm" baada ya kutoa maneno ya dhihaka na matusi....
Huyu Popomarism na Mbatia Kitengo KAMALIZA🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hapana, siyo kweli.Anapwaya tu. Hahujumiwi. Hana calibre ya kuongoza Taifa. Haya mambo ya usawa wa kijinsia (+corona) vimemsaidia kufika hapo. Magufuli alisema kuwa alitaka mgombea mwenza awe mtoto wa Mwinyi. Magufuli akaamua kumpa Samia tu kwa vile ni mwanamke.
Katiba yetu inampa madaraka makubwa sana Rais. Kama ana akili ya kuyatumia vizuri, basi anafika mbali. Huyu mama hana hiyo akili kabisa. Mpaka 2025 hakuna mtu atakuwa na imani na wanawake tena kwenye nafasi kubwa za uongozi kama hiyo. Anawaharibia akina mama wote.
Ili ionekane ana uwezo afanye Nini?!?!?!?!Hakuna anayemhujumu bali uwezo wake ni mdogo.
Kiongozi ukiwa huna uwezo , wa chini yako watakudharau tu