Trillion
JF-Expert Member
- Apr 24, 2018
- 3,330
- 7,494
Samia ni fungu la kukosa , anaweza mitala tu . Nchi inahitaji uponyaji hii.Anapwaya tu. Hahujumiwi. Hana calibre ya kuongoza Taifa. Haya mambo ya usawa wa kijinsia (+corona) vimemsaidia kufika hapo. Magufuli alisema kuwa alitaka mgombea mwenza awe mtoto wa Mwinyi. Magufuli akaamua kumpa Samia kwa vile ni mwanamke.
Katiba yetu inampa madaraka makubwa sana Rais. Kama ana akili ya kuyatumia vizuri, basi anafika mbali. Huyu mama hana hiyo akili kabisa. Mpaka 2025 hakuna mtu atakuwa na imani na wanawake kwenye nafasi kubwa za uongozi kama hiyo.
Samia amemwachia Nchi Mwigulu Mpango na Majaliwa.
Huyu bibi huyu ni bure kabisa.