James Mbatia: Samia Suluhu anahujumiwa

James Mbatia: Samia Suluhu anahujumiwa

Endelea kujitekenya na kucheka mwenyewe.....🤣🤣

Nawe unataka kuolewa ?!!!
Tayari ushatepeta mtoto wa teuzi..😂😂 ngoja ni kwambie kitu, mimi nakumbusha tu watawala waheshimu haki na utu wetu watanzania. Sihitaji teuzi na sina njaa. Napigania haki na usawa kwa wote pamoja na wewe mramba mikojo ya watawala.
 
😂😂😂😂😂😂 kifua chake kimejaa matiti na akishajisiliba wanja ana sura ya kuvutia si kama wale wachezaji wa soka wenye sura mbaya na vifua flat vifua. Njemba akajigonga wa KUDEMKA akakubali kuwa mke wa nne. 😜😜😜
Watu werevu hupendelea wanawake walio vizuri upstairs. Huyu anaongea vitu soft sana! Yeye anadhani Dunia ya Leo watu wanaoa vifua vilivyotuna badala ya mtu aliyetuna Ubongo! Kusimama Kwa Matiti Ni Sifa ya mpito tu kwa mwanamke.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Tayari ushatepeta mtoto wa teuzi..😂😂 ngoja ni kwambie kitu, mimi nakumbusha tu watawala waheshimu haki na utu wetu watanzania. Sihitaji teuzi na sina njaa. Napigania haki na usawa kwa wote pamoja na wewe mramba mikojo ya wwataUyuuy
Wewe mchezaji ,wewe refa kufikia kusema NIMESHATEPETA 🤣

Wewe mwenyewe unaramba mik..o ya Mbowe na genge lake.....acha kujiboost....huna lolote....umejaa njaa tu kama wengine......🤣
 
Ni kweli japo mimi humuona ni msaliti wa upinzani ameongea kwa uchungu sana labda itakuwa mwanzo wa kukataa kutumika na wahuni wa maccm.
Good speech kaitoa Moyoni hiyo dawa ni kwenda Mahakamani
 
Mbatia aache kudhihaki Jeshi letu la Polisi.
aache kubwabwaja afuate taratibu.
pia namshauri aache kuingilia Mahakama maana kesi ya rafiki yake , Mbowe ipo Mahakamani hivyo hatakiwi kusema eti Mbowe sio Gaidi wakati Mahakama haijaamua.
Kama nchi yetu isinge kuwa na utawala wa sheria basi Mbowe asinge fikishwa Mahakamani.
Mbatia anapaswa aheshimu vyombo vilivyopo kwa mujibu wa sheria.
maridhiano ya kitu gani anayo dai kama sio kusaka madaraka?!
tunamshauri Mbatia atulie asijifanye mjuaji sana mwishowe atajiharibia kila kitu.
aache kuwadanganya na kuwahadaa watanzania eti Rais anahujumiwa! ebo!
Mbatia alipaswa akalale kwanza hasira zipungue najua milioni 10 za maandalizi zimemuuma sana haswa ukizingatia ni mchaga kwa pesa![emoji1787], yote kwa yote Mbatia alipaswa afuate utaratibu, Polisi sio wajinga kumzuia kuna sababu ya msingi ambayo Mbatia anaikwepa kuielezea na akaamua kupotosha.
Pole sana Mzee Mbayia lkn siku nyingine usi zungumze wakati unahasira au sukari ikipanda.
 
Je, ni akina nani wanaomhujumu Samia? Axis of Evil AKA timu dhalimu mwendazake!?


... mtu kawaambia yeye na magufuli ni kitu kimoja ila wanaendelea kujidai kama samia ni tofauti. Sijui wamesahau kama serikali ni ileile ya ccm? Mama kama aliahidi mambo tofauti na msimamo wa ccm hilo ni shauri lake. Ccm ina yake kuhusu nchi hii wala sio ya mtu.
 
Nimesema wapi kuwa anashauriwa vibaya? Kwa hiyo unaona yanayofanyika ni ya mtu mwenye akili nzuri, ama Kiswahili hiki wewe unakielewaje? Narudia tena - huyu mama hana akili ya kutosha kuongoza nchi.
Ni kama anaburuzwa maana anayosema hadharani sio anayofanya. Anasema polisi tendeni haki kesho polisi wanaboronga
 
Duuh mama Tanzania wamemuudhi kwelikweli 🤣.......Mbatia haaminiki lakini hana tofauti na ndugu Nyepesi
 
Back
Top Bottom