James Mbatia: Samia Suluhu anahujumiwa

James Mbatia: Samia Suluhu anahujumiwa

Itafikia kipindi Police wakizuia Jeshi litaruhusu na kuleta Wanajeshi walinde mikutano
 
Niliwahi kusema toka Siku anaapishwa kuwa tunaenda kuwa na a Ceremonial or default President. Mpaka sasa hapo alipo huwezi kumuelezea kwa jambo lolote. Anadai Awamu yake Ni ya Sita. Muulize Ni awamu ya kwenda wapi hawezi kukupa majibu. Mahojiano Yake na Kikeke yalishindwa kumbainisha Ni Raisi anayejitambulisha kwa jambo gani.
Mwenyewe najiuliza hiyo awamu anayoita ya sita kaitoa wapi wakati kikatiba ye anamalizia awamu ya Rais aliefariki kabla ya kumaliza mda wake!
 
Angekuwa na akili hata ndogo, angeteua Baraza lake la Mawaziri. Awe na watu waomtii yeye na siyo watu wanaomtii yule aliyezikwa kule Chattle.
Akipata watu wanaomtii ndio kichwa yake itaongezewa akili?
 
Anasema
Screenshot_20210829-093837_Twitter.jpg
 
Anapwaya tu. Hahujumiwi. Hana calibre ya kuongoza Taifa. Haya mambo ya usawa wa kijinsia (+corona) vimemsaidia kufika hapo. Magufuli alisema kuwa alitaka mgombea mwenza awe mtoto wa Mwinyi. Magufuli akaamua kumpa Samia tu kwa vile ni mwanamke.

Katiba yetu inampa madaraka makubwa sana Rais. Kama ana akili ya kuyatumia vizuri, basi anafika mbali. Huyu mama hana hiyo akili kabisa. Mpaka 2025 hakuna mtu atakuwa na imani na wanawake tena kwenye nafasi kubwa za uongozi kama hiyo. Anawaharibia akina mama wote.
Mwanamke haaminiki popote

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Kuna wanawake wana akili ya kuongoza vizuri kuliko wanaume. Kuna mifano mingi katika historia. Ila huyu wa kwetu ni wa kubebwa. Kwanza Zanzibar yenye watu milioni 1 ni rahisi sana mtu kubebwa na kufika juu kabisa bila ya kuwa na uwezo. Harakati za ku-balance pande zote za muungano zinawabeba.
Mwanamke haaminiki popote

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom