James Mbatia: Tuna viongozi mapunguani hapa Tanzania

Kuna wanasiasa Mapunguani neno punguani ni mtu asio na akili sahihi, tumekuwa tunazungumzia Muafaka wakitaifa kuna wanasiasa mapunguani kabisa wanadhani ni kukaa mezani kugawana madaraka na vyeo, sisi tunataka Muafaka kwaajili ya nchi yetu, Machinga, Mama mjamzito, Elimu yetu.

Msajili wa vyama akatangaza kwamba shughuli za vyama zisimame kwa muda japo mamlaka haya hana ila kesho yake chama cha Mapinduzi wakaanza ziara Kanda ya kusini na Msajili akanyamaza kimya, huu ubaguzi huu hauvumiliki na ubaguzi huu ni upunguani kabisa.

James Francis Mbatia
M/kiti NCCR-Mageuzi

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
MSAJILI WA VYAMA ANAOGOPA KUFUTWA KAZI NA CCM
 
Unalilia Katiba Mpya wakati unajua utakubali kutumika wakati wa uchaguzi ili kukibeba CC nao ni upunguani, kukaa meza moja na CCM huku wengine wako jela bila makosa nao ni upunguani vilevile.
 
Yeye mwenyewe hua Ni punguani aliyechangamka esp. pale anaposikia khs kupewa Jimbo.
 
Kuna wanasiasa Mapunguani neno punguani ni mtu asio na akili sahihi, tumekuwa tunazungumzia Muafaka wakitaifa kuna wanasiasa mapunguani kabisa wanadhani ni kukaa mezani kugawana madaraka na vyeo, sisi tunataka Muafaka kwaajili ya nchi yetu, Machinga, Mama mjamzito, Elimu yetu.

Msajili wa vyama akatangaza kwamba shughuli za vyama zisimame kwa muda japo mamlaka haya hana ila kesho yake chama cha Mapinduzi wakaanza ziara Kanda ya kusini na Msajili akanyamaza kimya, huu ubaguzi huu hauvumiliki na ubaguzi huu ni upunguani kabisa.

James Francis Mbatia
M/kiti NCCR-Mageuzi

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Wengi wa viongozi ni mazezeta.
 
Kwa kweli ofisi ya msajili lazima itakuwa imejaza punguani wengi sana. Mambo wanayofanya, tena yaliyo kinyume cha katiba, hakuna mwenye akili anaweza kufanya. Ni punguani pekee yake ndiyo anaweza.

Wewe fikiria mtu anataka mfanye kikao kujadiliana kama mfuate sheria au muivunje. Huyo atakuwa mzima?
ukistaajabu ya mussa utayaona ya filauni.
 
Tatizo Ni sisi vigeugeu....Leo unasema Ni mapunguani ukipata gepu unaunga juhudi.
 
Kuna wanasiasa Mapunguani neno punguani ni mtu asio na akili sahihi, tumekuwa tunazungumzia Muafaka wakitaifa kuna wanasiasa mapunguani kabisa wanadhani ni kukaa mezani kugawana madaraka na vyeo, sisi tunataka Muafaka kwaajili ya nchi yetu, Machinga, Mama mjamzito, Elimu yetu.

Msajili wa vyama akatangaza kwamba shughuli za vyama zisimame kwa muda japo mamlaka haya hana ila kesho yake chama cha Mapinduzi wakaanza ziara Kanda ya kusini na Msajili akanyamaza kimya, huu ubaguzi huu hauvumiliki na ubaguzi huu ni upunguani kabisa.

James Francis Mbatia
M/kiti NCCR-Mageuzi

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Hii Nchi ni Ngumu sana
 
huu ubaguzi huu hauvumiliki
Nchi rahisi sana kuitawala na kuiongoza, maana wanachi wake ni maiti. Hata uyakanyage kichwani ama uyakabe koo kwa goti yanagugumia tu moyoni. Wala hayachukui hatua yoyote.
 
Kuna wanasiasa Mapunguani neno punguani ni mtu asio na akili sahihi, tumekuwa tunazungumzia Muafaka wakitaifa kuna wanasiasa mapunguani kabisa wanadhani ni kukaa mezani kugawana madaraka na vyeo, sisi tunataka Muafaka kwaajili ya nchi yetu, Machinga, Mama mjamzito, Elimu yetu.

Msajili wa vyama akatangaza kwamba shughuli za vyama zisimame kwa muda japo mamlaka haya hana ila kesho yake chama cha Mapinduzi wakaanza ziara Kanda ya kusini na Msajili akanyamaza kimya, huu ubaguzi huu hauvumiliki na ubaguzi huu ni upunguani kabisa.

James Francis Mbatia
M/kiti NCCR-Mageuzi

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Awe makini
 
Kwa kweli ofisi ya msajili lazima itakuwa imejaza punguani wengi sana. Mambo wanayofanya, tena yaliyo kinyume cha katiba, hakuna mwenye akili anaweza kufanya. Ni punguani pekee yake ndiyo anaweza.

Wewe fikiria mtu anataka mfanye kikao kujadiliana kama mfuate sheria au muivunje. Huyo atakuwa mzima?
Ukweli ni kwamba CCM wanajisahaurisha aliyekuja kuwaweka kwenye reli wakaachwa kuzomewa mitaani wakiwa na mashati yao ya kijani ni Magufuli! Na watu wengi walimchagua Magufuli sio CCM! Japo kuwa Maguguli alikuwa na mapungufu yake lakini ndo mtu pekee aliyekibeba chama! Kama ni Mama Samia kweli 2025 atagombea tuombe uzima! Nakwambia mama hauziki na CCM wajiandae kisaikolojia! Narudia tena CCM haikuwahi kuchaguliwa watu walichagua Magufuli mkitaka kujua hilo subiri 2025! Ila kwa vile mkijifungia chumbani na akina Shaka Hamdu shaka mnalishana matango pori haya!
 
Back
Top Bottom