Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
MSAJILI WA VYAMA ANAOGOPA KUFUTWA KAZI NA CCMKuna wanasiasa Mapunguani neno punguani ni mtu asio na akili sahihi, tumekuwa tunazungumzia Muafaka wakitaifa kuna wanasiasa mapunguani kabisa wanadhani ni kukaa mezani kugawana madaraka na vyeo, sisi tunataka Muafaka kwaajili ya nchi yetu, Machinga, Mama mjamzito, Elimu yetu.
Msajili wa vyama akatangaza kwamba shughuli za vyama zisimame kwa muda japo mamlaka haya hana ila kesho yake chama cha Mapinduzi wakaanza ziara Kanda ya kusini na Msajili akanyamaza kimya, huu ubaguzi huu hauvumiliki na ubaguzi huu ni upunguani kabisa.
James Francis Mbatia
M/kiti NCCR-Mageuzi
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Your browser is not able to display this video.