Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
What next baada ya tukio..? Zaidi ya matamko tu.. tunataka uwajibikajiMwanasiasa mkongwe nchini James Mbatia, amevunja ukimya kuhusu tukio la kushambuliwa kwa Padri Charles Kitima, ambaye ameelezea pia ni baba yake mlezi wa kiroho ambapo amesema kuwa tukio hilo lililenga waziwazi kuondoa uhai wa padri huyo.
Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya
Akizungumza na vyombo vya habari leo Mei Mosi, 2025, Mbatia amesema watu waliomvamia Padri Kitima walifanya hivyo kwa makusudi na kwa kutumia nguvu kubwa, huku wakilenga maeneo nyeti ya kichwani.
hizi kazi za kutumwa kwenda kufanya uhalifu wa hivyo ni hatari, walewale waliotumwa kuna kupotezwa mazima bila kujali lengo limetimia au limefeli. Umasikini mbaya sana unaweza kugeuzwa mbwa kwenda kushambulia watu kwa ujira kiduchu usiotajirishavijana walikuwa well trained basiiiiiiiii tushajua ni kina nani
Sidhani kama wataachwa salama.hizi kazi za kutumwa kwenda kufanya uhalifu wa hivyo ni hatari, walewale waliotumwa kuna kupotezwa mazima bila kujali lengo limetimia au limefeli. Umasikini mbaya sana unaweza kugeuzwa mbwa kwenda kushambulia watu kwa ujira kiduchu usiotajirisha
Mtajuaje kama atapona!?Bado ni Siri kinachoendelea kuhusu afya yake!!Wahuni walikua wamedhamilia kuua
WatakudinyaRed Brigade !
inawezekana kupunguza taharuki, ngoja tusubiri muda kama yu hai itajulikanaMtajuaje kama atapona!?Bado ni Siri kinachoendelea kuhusu afya yake!!
Tanza gizaWhat next baada ya tukio..? Zaidi ya matamko tu.. tunataka uwajibikaji
Duh π !Mwanasiasa mkongwe nchini James Mbatia, amevunja ukimya kuhusu tukio la kushambuliwa kwa Padri Charles Kitima, ambaye ameelezea pia ni baba yake mlezi wa kiroho ambapo amesema kuwa tukio hilo lililenga waziwazi kuondoa uhai wa padri huyo.
Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya
Akizungumza na vyombo vya habari leo Mei Mosi, 2025, Mbatia amesema watu waliomvamia Padri Kitima walifanya hivyo kwa makusudi na kwa kutumia nguvu kubwa, huku wakilenga maeneo nyeti ya kichwani.
Mmmh ! πTanza giza
Kwa hiyo anaenda saidia polisi
Tujulishe majina yao please πMbona waliohusika wanafahamika, tena kwa majina.
Kwani hujapata majina yao tu?