PreGE2025 James Mbatia: Waliomshambulia Padri Charles Kitima walilenga kumuua

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Majina ya waliohusika na shambulio hilo yamekwishajulikana. Kitendo hicho cha kishetani kilifanywa na maafisa wawili wa usalama wa Taifa, ambao wamejulikana kwa majina ya Kayombo na Mkude, na walipewa maelekezo na mkubwa wao anayeitwa Fadhili, ambaye alipewa baraka na Bashungwa, kwenda kuondoa uhai wa Fr. Kitima. Walipofika Kurasini, Kayombo na Mkude walijifanya wateja kwenye kantini ya TEC.

Kama nchi ingekuwa yenye haki, wa kwanza kukamatwa alitakiwa awe Bashungwa.
 
hizi kazi za kutumwa kwenda kufanya uhalifu wa hivyo ni hatari, walewale waliotumwa kuna kupotezwa mazima bila kujali lengo limetimia au limefeli. Umasikini mbaya sana unaweza kugeuzwa mbwa kwenda kushambulia watu kwa ujira kiduchu usiotajirisha
KWN WA TRA KULE WAZO UALIMKUTA NN?
 
Mkuu wewe ni noma. Funguka zaidi basi Mkuu jinsi walivyojulikana kama hutojali.
 
Hii ni maajabu!
 
hizi kazi za kutumwa kwenda kufanya uhalifu wa hivyo ni hatari, walewale waliotumwa kuna kupotezwa mazima bila kujali lengo limetimia au limefeli. Umasikini mbaya sana unaweza kugeuzwa mbwa kwenda kushambulia watu kwa ujira kiduchu usiotajirisha
Watu wanafanya kazi za kidwanzi sana UWT🤣🤣🤣🤣🤣aka TISS
 
April Lisu anakamatwa na kupewa kesi nzito ya uhaini.

Mwezi May tunapata taarifa ya kushambuliwa kwafr. Kitima na kuna tetesi mbaya juu ya hali yake.

Tarajieni kuwa mwezi June kiongozi mkubwa zaidi ccm atafariki.
 
Mkuu wewe ni noma. Funguka zaidi basi Mkuu jinsi walivyojulikana kama hutojali.

TEC wana taarifa zote, wamewatega Polisi kuwaambia wafanye uchunguzi wa wazi, na watoe taarifa ya kweli, siyo kutengeneza story.

Baada ya taarifa ya Polisi, TEC watatoa taarifa nzima, na jinsi ilivyotokea:

Kiufupi, kabla ya shambulio, ni kwamba mchana kulikuwa na kikao cha viongozi wa dini wapatao 100, walikutana kujadili kuhusiana na mazingira ya uchaguzi. Wakakubaliana wamwone Rais ili wamshauri juu ya umuhimu wa marekebisho ya sheria na mifumo ya uchaguzi.

Kumbe pale kwenye kikao, miongoni mwa viongozi wa dini, mmoja ni afisa kipenyo. Mara baada ya kikao, akamtaarifa afisa kipenyo rasmi, anayeitwa Kayombo. Kayombo akamtaarifu mkubwa wake aitwaye Fadhili. Wakafanya kikao cha haraka na Bashungwa. Kwenye kikao chao wakakubaliana kuwa katika hao viongozi wa dini, Kitima ndiye alikuwa hatari zaidi katika mipango yao ya kudhulumu uchaguzi ujao, na Bashungwa akatoa maelekezo kuwa Kitima ashughulikiwe. Jukumu hilo walipewa Kayombo, na afisa kipenyo mwingine aitwaye Mkude. Hao ndio walioenda Kurasini, wakajifanya ni wateja kwenye kantini ya Kanisa, wakimfuatilia Fr Kitima. Fr Kitima alipotoka tu, wakamfuata na kumvamia kwa lengo la kumwua. Na sehemu waliyompiga walijua wamemaliza kazi waliyotumwa.

Kwa hiyo waliomjeruhi ni hao wawili, lakini yalikuwa ni maazimio ya kikao cha Bashungwa.

Baraza la maaskofu linafahamu kila kitu, lakini wameachwa Polisi kwanza watengeneze story yao ya uwongo. Wanayemshikilia hahusiki kabisa, ila ni katika kutengeneza story yao, na kuwaficha wahusika. Na huenda wahusika wakapotezwa kwa sababu walishindwa kufanya kazi waliyotumwa na Bashungwa, kwa ukamilifu, ambayo ilikuwa kumwua Fr. Kitima.
 
Majina ya waliohusika na shambulio hilo yamekwishajulikana. Kitendo hicho cha kishetani kilifanywa na maafisa wawili wa usalama wa Taifa, ambao wamejulikana kwa majina ya Kayombo na Mkude, na walipewa maelekezo na mkubwa wao anayeitwa Fadhili, ambaye alipewa baraka na Bashungwa, kwenda kuondoa uhai wa Fr. Kitima. Walipofika Kurasini, Kayombo na Mkude walijifanya wateja kwenye kantini ya TEC.

Kama nchi ingekuwa yenye haki, wa kwanza kukamatwa alitakiwa awe Bashungwa.

Majina haya yanaonekana kuwa siyo mageni kabisa masikioni mwangu. Tafadhali taja Majina yao mengine ya pili au/na ya tatu waliyonayo
 
TEC wana taarifa zote, wamewatega Polisi kuwaambia wafanye uchunguzi wa wazi, na watoe taarifa ya kweli, siyo kutengeneza story.

Baada ya taarifa ya Polisi, TEC watatoa taarifa nzima, na jinsi ilivyotokea:

Kiufupi, kabla ya shambulio, ni kwamba mchana kulikuwa na kikao cha viongozi wa dini wapatao 100, walikutana kujadili kuhusiana na mazingira ya uchaguzi. Wakakubaliana wamwone Rais ili wamshauri juu ya umuhimu wa marekebisho ya sheria na mifumo ya uchaguzi.

Kumbe pale kwenye kikao, miongoni mwa viongozi wa dini, mmoja ni afisa kipenyo. Mara baada ya kikao, akamtaarifa afisa kipenyo rasmi, anayeitwa Kayombo. Kayombo akamtaarifu mkubwa wake aitwaye Fadhili. Wakafanya kikao cha haraka na Bashungwa. Kwenye kikao chao wakakubaliana kuwa katika hao viongozi wa dini, Kitima ndiye alikuwa hatari zaidi katika mipango yao ya kudhulumu uchaguzi ujao, na Bashungwa akatoa maelekezo kuwa Kitima ashughulikiwe. Jukumu hilo walipewa Kayombo, na afisa kipenyo mwingine aitwaye Mkude. Hao ndio walioenda Kurasini, wakajifanya ni wateja kwenye kantini ya Kanisa, wakimfuatilia Fr Kitima. Fr Kitima alipotoka tu, wakamfuata na kumvamia kwa lengo la kumwua. Na sehemu waliyompiga walijua wamemaliza kazi waliyotumwa.

Kwa hiyo waliomjeruhi ni hao wawili, lakini yalikuwa ni maazimio ya kikao cha Bashungwa.

Baraza la maaskofu linafahamu kila kitu, lakini wameachwa Polisi kwanza watengeneze story yao ya uwongo. Wanayemshikilia hahusiki kabisa, ila ni katika kutengeneza story yao, na kuwaficha wahusika. Na huenda wahusika wakapotezwa kwa sababu walishindwa kufanya kazi waliyotumwa na Bashungwa, kwa ukamilifu, ambayo ilikuwa kumwua Fr. Kitima.

Walitaka wamuue kwa kumpiga kichwani kama alivyouawa Dkt. Sengondo Mvungi alivyofanyiwa kwa kukatwakatwa mapanga kichwani. Extremely dangerous!
 
Hao jamaa ni maboya sana.........pamoja na aliyewatuma........ mijitu kama hiyo inakuvamia unahakikisha umevunja shingo ya mmoja wapo hata kama watafanikiwa kukuua mazafanta zao

Are you serious?

Je, unajua kwamba Watu wanaotumwa kufanya kazi za namna hiyo huwa ni Wauaji Wazoefu (Trained Assassins) ambao wamepata Mafunzo ya kutosha kabisa kuhusiana na kazi hiyo ya kuua Watu? Are you aware about that?
 
hizi kazi za kutumwa kwenda kufanya uhalifu wa hivyo ni hatari, walewale waliotumwa kuna kupotezwa mazima bila kujali lengo limetimia au limefeli. Umasikini mbaya sana unaweza kugeuzwa mbwa kwenda kushambulia watu kwa ujira kiduchu usiotajirisha
WORKING FOR KILLERS IS A SURE WAY OF BOOKING THE PLACE IN HELL!

Ndio maana Mimi binafsi huwa nashangaa Sana kumuona Mtu eti anatamani kuajiriwa na Taasisi Kama TISS. Bado sijafahamu bayana Nini hasa kinawavutia huko??? Pesa??
 
Mwanasiasa mkongwe nchini James Mbatia, amevunja ukimya kuhusu tukio la kushambuliwa kwa Padri Charles Kitima, ambaye ameelezea pia ni baba yake mlezi wa kiroho ambapo amesema kuwa tukio hilo lililenga waziwazi kuondoa uhai wa padri huyo.

Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Akizungumza na vyombo vya habari leo Mei Mosi, 2025, Mbatia amesema watu waliomvamia Padri Kitima walifanya hivyo kwa makusudi na kwa kutumia nguvu kubwa, huku wakilenga maeneo nyeti ya kichwani.

Nikafiri amewataja majina walihusika.
 
Back
Top Bottom