Man fila ndu
JF-Expert Member
- Aug 31, 2023
- 903
- 732
Na wewe umejuaje kama yeye aliyewatuma?Yeye amejuaje? Huenda yeye ndio aliye watuma.
Na wewe umejuaje kama yeye aliyewatuma?Yeye amejuaje? Huenda yeye ndio aliye watuma.
Wewe usiogope hakuna well trained aliyekishinda kifo..........wote huwa tunakufaga tuAre you serious?
Je, unajua kwamba Watu wanaotumwa kufanya kazi za namna hiyo huwa ni Wauaji Wazoefu (Trained Assassins) ambao wamepata Mafunzo ya kutosha kabisa kuhusiana na kazi hiyo ya kuua Watu? Are you aware about that?
Tuna wauaji nchi hii, huyo mama Kichwa bapa sijui mviringo ni shida, ameshaonja damu za watanganyika, ataendelea kuteka na kuua. Hajali huyu mama, ni mchawi, mwanga na muuaji mkubwa.Mwanasiasa mkongwe nchini James Mbatia, amevunja ukimya kuhusu tukio la kushambuliwa kwa Padri Charles Kitima, ambaye ameelezea pia ni baba yake mlezi wa kiroho ambapo amesema kuwa tukio hilo lililenga waziwazi kuondoa uhai wa padri huyo.
Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya
Akizungumza na vyombo vya habari leo Mei Mosi, 2025, Mbatia amesema watu waliomvamia Padri Kitima walifanya hivyo kwa makusudi na kwa kutumia nguvu kubwa, huku wakilenga maeneo nyeti ya kichwani.
Mambo haya yanakuwa kama utani, licha ya kuwa ni uhai wa watu.April Lisu anakamatwa na kupewa kesi nzito ya uhaini.
Mwezi May tunapata taarifa ya kushambuliwa kwafr. Kitima na kuna tetesi mbaya juu ya hali yake.
Tarajieni kuwa mwezi June kiongozi mkubwa zaidi ccm atafariki.
Kweli mkuu. Baada ya haya matamko ndio imeenda hiyoTanza giza
mbona jibu ni rahisi kasema wamepiga sehemu ambazo ni hatari mno kwa mtu ukigusa anakata moto kwa harakaYeye amejuaje? Huenda yeye ndio aliye watuma.
Sasa mbona kuna taarifa ya CCM kulaani tukio wakati serikali ipo kmy kabisa?
Asante sana Mkuu. Barikiwa na Mungu Muumba wetu.TEC wana taarifa zote, wamewatega Polisi kuwaambia wafanye uchunguzi wa wazi, na watoe taarifa ya kweli, siyo kutengeneza story.
Baada ya taarifa ya Polisi, TEC watatoa taarifa nzima, na jinsi ilivyotokea:
Kiufupi, kabla ya shambulio, ni kwamba mchana kulikuwa na kikao cha viongozi wa dini wapatao 100, walikutana kujadili kuhusiana na mazingira ya uchaguzi. Wakakubaliana wamwone Rais ili wamshauri juu ya umuhimu wa marekebisho ya sheria na mifumo ya uchaguzi.
Kumbe pale kwenye kikao, miongoni mwa viongozi wa dini, mmoja ni afisa kipenyo. Mara baada ya kikao, akamtaarifa afisa kipenyo rasmi, anayeitwa Kayombo. Kayombo akamtaarifu mkubwa wake aitwaye Fadhili. Wakafanya kikao cha haraka na Bashungwa. Kwenye kikao chao wakakubaliana kuwa katika hao viongozi wa dini, Kitima ndiye alikuwa hatari zaidi katika mipango yao ya kudhulumu uchaguzi ujao, na Bashungwa akatoa maelekezo kuwa Kitima ashughulikiwe. Jukumu hilo walipewa Kayombo, na afisa kipenyo mwingine aitwaye Mkude. Hao ndio walioenda Kurasini, wakajifanya ni wateja kwenye kantini ya Kanisa, wakimfuatilia Fr Kitima. Fr Kitima alipotoka tu, wakamfuata na kumvamia kwa lengo la kumwua. Na sehemu waliyompiga walijua wamemaliza kazi waliyotumwa.
Kwa hiyo waliomjeruhi ni hao wawili, lakini yalikuwa ni maazimio ya kikao cha Bashungwa.
Baraza la maaskofu linafahamu kila kitu, lakini wameachwa Polisi kwanza watengeneze story yao ya uwongo. Wanayemshikilia hahusiki kabisa, ila ni katika kutengeneza story yao, na kuwaficha wahusika. Na huenda wahusika wakapotezwa kwa sababu walishindwa kufanya kazi waliyotumwa na Bashungwa, kwa ukamilifu, ambayo ilikuwa kumwua Fr. Kitima.
Ni Uvccm haoMwanasiasa mkongwe nchini James Mbatia, amevunja ukimya kuhusu tukio la kushambuliwa kwa Padri Charles Kitima, ambaye ameelezea pia ni baba yake mlezi wa kiroho ambapo amesema kuwa tukio hilo lililenga waziwazi kuondoa uhai wa padri huyo.
Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya
Akizungumza na vyombo vya habari leo Mei Mosi, 2025, Mbatia amesema watu waliomvamia Padri Kitima walifanya hivyo kwa makusudi na kwa kutumia nguvu kubwa, huku wakilenga maeneo nyeti ya kichwani.
Wazee WA mapigo na mwendo kwaio,🤨 ety very trained🥱