PreGE2025 James Mbatia: Waliomshambulia Padri Charles Kitima walilenga kumuua

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mama anaamini na kuogopa ramlu chonganishi.....shida iko hapo....Sheikh Hussein ......ndio kinachomsumbua huyo bibi
 
Are you serious?

Je, unajua kwamba Watu wanaotumwa kufanya kazi za namna hiyo huwa ni Wauaji Wazoefu (Trained Assassins) ambao wamepata Mafunzo ya kutosha kabisa kuhusiana na kazi hiyo ya kuua Watu? Are you aware about that?
Wewe usiogope hakuna well trained aliyekishinda kifo..........wote huwa tunakufaga tu
 
Sasa mbona kuna taarifa ya CCM kulaani tukio wakati serikali ipo kmy kabisa?
 
Tuna wauaji nchi hii, huyo mama Kichwa bapa sijui mviringo ni shida, ameshaonja damu za watanganyika, ataendelea kuteka na kuua. Hajali huyu mama, ni mchawi, mwanga na muuaji mkubwa.
 
April Lisu anakamatwa na kupewa kesi nzito ya uhaini.

Mwezi May tunapata taarifa ya kushambuliwa kwafr. Kitima na kuna tetesi mbaya juu ya hali yake.

Tarajieni kuwa mwezi June kiongozi mkubwa zaidi ccm atafariki.
Mambo haya yanakuwa kama utani, licha ya kuwa ni uhai wa watu.
Sasa nami ngoja niulize: huyo kiongozi wa CCM, mwenye zamu yake June, hawezi kuwa Wasira!
 
Bashungwa, mmoja wa mawaziri bwege bwege sana. Kahamishiwa wizara hiyo kwa lengo maalum la kutumiwa tu!
Hata hana uwezo wa kufikiri matokeo ya maamuzi ya kijinga kama haya.

Kuna mawaziri ambao inashangaza sijui waliingia vipi na kwa sifa zipi kwenye uwaziri.
Mmoja wao ni huyu Bashungwa.
 
Ukimya wenu kwenye matukio mengine, haya ndio matokeo yake.

Msisubiri mpaka watu wenu wa karibu waguswe ndio mtoke kukemea haya maovu.
 
Yeye amejuaje? Huenda yeye ndio aliye watuma.
mbona jibu ni rahisi kasema wamepiga sehemu ambazo ni hatari mno kwa mtu ukigusa anakata moto kwa haraka
 
Asante sana Mkuu. Barikiwa na Mungu Muumba wetu.
 
Ni Uvccm hao
 
Padrj anaendeleaje?! Taarifa please cc @Dr mama amon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…