Uchaguzi 2020 James Mbowe achukua fomu kugombea ubunge Moshi mjini kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 James Mbowe achukua fomu kugombea ubunge Moshi mjini kupitia CHADEMA

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
James Mbowe, mtoto wa kaka wa mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe amechukua fomu kugombea ubunge jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya CHADEMA.

Freeman yeye alishatangaza kutetea kiti chake jimboni Hai mkoa huo huo wa Kilimanjaro.

Source: Ayo tv

Maendeleo hayana vyama!
 
Naomba ufipa mwambieni ukoo wa Mbowe wache ufalme!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Anayo haki kama raia yeyote wa nchi hii, shida ni pale Kura za maoni zitakapombeba bila kujali ushawishi wake kwenye Chama na huko Kwa wananchi
 
Biashara ya ubunge naona kila mtu anajaribu, duh
 
Back
Top Bottom