Uchaguzi 2020 James Mbowe achukua fomu kugombea ubunge Moshi mjini kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 James Mbowe achukua fomu kugombea ubunge Moshi mjini kupitia CHADEMA

Hivi Yule wa 'Mungu ibariki chadema' amepita Kura za maoni?
 
James Mbowe, mtoto wa kaka wa mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe amechukua fomu kugombea ubunge jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya CHADEMA.

Freeman yeye alishatangaza kutetea kiti chake jimboni Hai mkoa huo huo wa Kilimanjaro.

Source: Ayo tv

Maendeleo hayana vyama!
Mh.Freeman Mbowe anatetea na kiti chake cha Hai na kile cha Urais anamwachia nani jamani? Mbona mnataka kutuchanganya?
 
James Mbowe, mtoto wa kaka wa mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe amechukua fomu kugombea ubunge jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya CHADEMA.

Freeman yeye alishatangaza kutetea kiti chake jimboni Hai mkoa huo huo wa Kilimanjaro.

Source: Ayo tv

Maendeleo hayana vyama!
Freeman hagombei Uraisi
 
usipende kuiga utakuja zamishiwa muwa uko
Ona sasa unavyopanic! Ndio ccm huwa inaamua hata mkishinda inawatia dole la kati anatangazwa mwingine maisha yanaendelea, yote hii sababu mabichwa yenu yako empty akili zote mlishakabidhi kwa Mbowe!

Mnachosimamia hakijulikani
 
ABED KARUME, AMAN KARUME, ALI MWINYI, HUSSEIN MWINYI, JAKAYA KIKWETE, RIDHIWANI KIKWETE, SALMA KIKWETE, YUSUPH MAKAMBA, JANUARY MAKAMBA, WILLIAM MGIMWA, MGIMWA MAREHEMU, GODLUCK MLINGA KARITHISHWS JIMBO LA MAREHEMU MAMA YAKE..... ...... ila Mbowe tu anaonekana mbaya
 
Back
Top Bottom