Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hivi mpumbavu kuitwa mpumbavu ni tusi 🙄🙄🙄🙄 KWELI UANITHI WA AKILI NI UGONJWA MBAYA KULIKO YOTEJames Mbowe ambaye ni mwanachama mwaminifu wa chama cha ukombozi wa umma (CHAUMMA) anasema moja ya kitu ambacho kilikuwa kinamuumiza ndani ya CHADEMA ni Mheshimiwa Mbowe kutukanwa kwenye mitandao na viongozi ndani ya chama kuwa kimpya
na penyewe ni mtoto wa ndugu na mbowe sio wadamu ya mbowe. aendezake hukoHii mitoto ambayo inategemea footprints za wazazi ku survive mjini ni hasara kwa jamìi nzima.
Hilo tusi nikitukanwa mimi naweza nikaondoka na roho ya mtuKWELI UANITHI WA AKILI NI UGONJWA MBAYA KULIKO YOTE
Mtegemea cha mjomba hupata taabu.na penyewe ni mtoto wa ndugu na mbowe sio wadamu ya mbowe. aendezake huko
Hajasema Heche kamtukana Mbowe mama yoyo.Jamani Heche kamtukana lini Mbowe?