GE2025 James Mbowe: Mbowe anatukanwa na Heche yupo kimya

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hajasema Heche kamtukana Mbowe mama yoyo.
Kasema vijana wanamtukana kwa magruop yao ya whtsapp ambamo Heche yumo na amekaa kimya hawakatazi vijana kumtukana Mbowe.
Kwa maana hiyo wanatafsiri Heche huenda anawasaport vijana wamtukane Mbowe ndo maana Hawakatazi.

Mbona akina Mrema wamemtukana Lissu, ila Mbowe yupo kimya
 
James Mbowe ambaye ni mwanachama mwaminifu wa chama cha ukombozi wa umma (CHAUMMA) anasema moja ya kitu ambacho kilikuwa kinamuumiza ndani ya CHADEMA ni Mheshimiwa Mbowe kutukanwa kwenye mitandao na viongozi ndani ya chama kuwa kimpya.

"Hakuna kitu kibaya kama viongozi kuruhusu muasisi wa chama kushambuliwa na kutukanwa kwenye mitandao. Freeman ametukanwa sana kwenye mitandao – anatukanwa kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi, na anatukanwa na vijana wa CHADEMA hawa Gen Z; watoto ambao wameingia kwenye hiki chama hata hawakijui kimetoka wapi wala kinaelekea wapi. Wamepewa tu Hadidu za Rejea, wao ni kushambulia, ni kutukana."

"Hebu nambie, mtu ambaye mnamtukana kuanzia asubuhi mpaka jioni, yeye amenyaamaza kimya – na anamtukana kwenye magroup ya chama ambako Makamu Mwenyekiti yuko, kwa maana ya John Heche, aliyekuwa Katibu Mkuu John Mnyika yupo, na baadhi ya viongozi waandamizi wa chama wapo. Freeman anatukanwa kule na vijana, lakini wenyewe wanakaa kule, wanasoma, wananyamaza kimya."
Huyu kumbe ni mlevi kama baba yake, lini Mbowe ametukanwa na viongozi wa Chadema? Yeye na baba yake fedha za Abdul zimewatoa akili wanajiropokea tu na damu ya Mzee Kibao imeshaanza kuwatesa .
 
James Mbowe ambaye ni mwanachama mwaminifu wa chama cha ukombozi wa umma (CHAUMMA) anasema moja ya kitu ambacho kilikuwa kinamuumiza ndani ya CHADEMA ni Mheshimiwa Mbowe kutukanwa kwenye mitandao na viongozi ndani ya chama kuwa kimpya.

"Hakuna kitu kibaya kama viongozi kuruhusu muasisi wa chama kushambuliwa na kutukanwa kwenye mitandao. Freeman ametukanwa sana kwenye mitandao – anatukanwa kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi, na anatukanwa na vijana wa CHADEMA hawa Gen Z; watoto ambao wameingia kwenye hiki chama hata hawakijui kimetoka wapi wala kinaelekea wapi. Wamepewa tu Hadidu za Rejea, wao ni kushambulia, ni kutukana."

"Hebu nambie, mtu ambaye mnamtukana kuanzia asubuhi mpaka jioni, yeye amenyaamaza kimya – na anamtukana kwenye magroup ya chama ambako Makamu Mwenyekiti yuko, kwa maana ya John Heche, aliyekuwa Katibu Mkuu John Mnyika yupo, na baadhi ya viongozi waandamizi wa chama wapo. Freeman anatukanwa kule na vijana, lakini wenyewe wanakaa kule, wanasoma, wananyamaza kimya."
Mbona Mbowe yeye haudhurii kesi ya Tundu Lissu mahakamani, badala yake ni wanachama hai wa Chadema tu (kuonyesha solidarity), na watu wengine kama akina Jenerali Ulimwengu, ndio wanaohudhuria kila inapotajwa?
 
Mbona akina Mrema wamemtukana Lissu, ila Mbowe yupo kimya
Mbowe ana cheo gani Chadema au Chaumma?

Wakati akiwa Mwenyekiti aliwakemea wakina Nyerere kutokana na lugha waliyokuwa wakitumia dhidi ya Lissu. Lissu na Heche hawajawahi kutoa neno lolote.

Amandla...
 
Mbona Mbowe yeye haudhurii kesi ya Tundu Lissu mahakamani, badala yake ni wanachama hai wa Chadema tu (kuonyesha solidarity), na watu wengine kama akina Jenerali Ulimwengu, ndio wanaohudhuria kila inapotajwa?
Mbowe alienda kumtembelea Lissu gerezani. Alipotoka likatoka tamko kuwa Lissu hataki mambo ya gizani! Watu wakaamini kuwa Mbowe alitumwa na Samia. Itakuwa hivyo hivyo akienda Mahakamani. Chuki dhidi yake imefika pabaya sana.

Amandla...
 
James Mbowe ambaye ni mwanachama mwaminifu wa chama cha ukombozi wa umma (CHAUMMA) anasema moja ya kitu ambacho kilikuwa kinamuumiza ndani ya CHADEMA ni Mheshimiwa Mbowe kutukanwa kwenye mitandao na viongozi ndani ya chama kuwa kimpya.

"Hakuna kitu kibaya kama viongozi kuruhusu muasisi wa chama kushambuliwa na kutukanwa kwenye mitandao. Freeman ametukanwa sana kwenye mitandao – anatukanwa kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi, na anatukanwa na vijana wa CHADEMA hawa Gen Z; watoto ambao wameingia kwenye hiki chama hata hawakijui kimetoka wapi wala kinaelekea wapi. Wamepewa tu Hadidu za Rejea, wao ni kushambulia, ni kutukana."

"Hebu nambie, mtu ambaye mnamtukana kuanzia asubuhi mpaka jioni, yeye amenyaamaza kimya – na anamtukana kwenye magroup ya chama ambako Makamu Mwenyekiti yuko, kwa maana ya John Heche, aliyekuwa Katibu Mkuu John Mnyika yupo, na baadhi ya viongozi waandamizi wa chama wapo. Freeman anatukanwa kule na vijana, lakini wenyewe wanakaa kule, wanasoma, wananyamaza kimya."
Km serikali inapitia hz comments za hawa wanaojita wanachama wa chadema isije kamwe ikasajili chama chenye mrengo wa hiki, hili ni janga kwa Taifa si chama, ni kikundi cha wahuni, watovu wa nidhamu, ni magaidi wajao. Kwa kuanzia hili chama ifikie ifutike ktk uso wa hii dunia.
 
Hana hoja huyu jamaa with Innocent neck carrying an Empty skull 💀
Mbowe is rejected and politically dead
 
Mbowe alienda kumtembelea Lissu gerezani. Alipotoka likatoka tamko kuwa Lissu hataki mambo ya gizani! Watu wakaamini kuwa Mbowe alitumwa na Samia. Itakuwa hivyo hivyo akienda Mahakamani. Chuki dhidi yake imefika pabaya sana.

Amandla...
Huoni kwamba ku'react'/kufanya jambo kwa kufuata maoni au mtazamo wa watu kunamwondoa mtu kwenye reli? Watu wakisema X ni mwizi wakati siyo mwizi, na yeye akaiba kwa vile watu wamesema, huoni kwamba kwa kufanya hivyo ana'prove' hicho watu wanachokisema? Mwanzoni tuliaminishwa kwamba hawa watu wako pamoja na siku moja Mbowe alisikika akisema: "kama mnadhani ndani ya chama chetu kuna mpasuko mtasubiri sana..." Kumbe ilikuwa kauli tu ya mdomoni. Hakuna jambo zuri na lenye nguvu kama kuendelea kushikamana wakati wa raha/neema na shida/matatizo.
 
Km serikali inapitia hz comments za hawa wanaojita wanachama wa chadema isije kamwe ikasajili chama chenye mrengo wa hiki, hili ni janga kwa Taifa si chama, ni kikundi cha wahuni, watovu wa nidhamu, ni magaidi wajao. Kwa kuanzia hili chama ifikie ifutike ktk uso wa hii dunia.
Cheki hii takataka,ukomenti zinakuumiza hivi,ukisemwa hadharani si utateka na kuua watu kabisa kabla ilivyo utaratibu wa chama chenu.
 
Kwamba hajui kuwa CHADEMA ni chama Cha demokrasia na maendeleo?
Moja ya nguzo ya demokrasia ni freedom of speech,anataka watu wazuiwe kutoa hasira zao vifuani ili wafe.
Halafu mbona hawa CHAUMMA mbona kama wamekuwa copy cut ya CCM,maoni wasiyoyapenda wanaita matusi.
 
James Mbowe ambaye ni mwanachama mwaminifu wa chama cha ukombozi wa umma (CHAUMMA) anasema moja ya kitu ambacho kilikuwa kinamuumiza ndani ya CHADEMA ni Mheshimiwa Mbowe kutukanwa kwenye mitandao na viongozi ndani ya chama kuwa kimpya.

"Hakuna kitu kibaya kama viongozi kuruhusu muasisi wa chama kushambuliwa na kutukanwa kwenye mitandao. Freeman ametukanwa sana kwenye mitandao – anatukanwa kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi, na anatukanwa na vijana wa CHADEMA hawa Gen Z; watoto ambao wameingia kwenye hiki chama hata hawakijui kimetoka wapi wala kinaelekea wapi. Wamepewa tu Hadidu za Rejea, wao ni kushambulia, ni kutukana."

"Hebu nambie, mtu ambaye mnamtukana kuanzia asubuhi mpaka jioni, yeye amenyaamaza kimya – na anamtukana kwenye magroup ya chama ambako Makamu Mwenyekiti yuko, kwa maana ya John Heche, aliyekuwa Katibu Mkuu John Mnyika yupo, na baadhi ya viongozi waandamizi wa chama wapo. Freeman anatukanwa kule na vijana, lakini wenyewe wanakaa kule, wanasoma, wananyamaza kimya."
Kachagua mwenyewe hana chakujibu anajua alichofanya huyu waki anasemaje Mnyika aliekua katibu mkuu? Mnyika si ni bado katibu mkuu?
 
Huoni kwamba ku'react'/kufanya jambo kwa kufuata maoni au mtazamo wa watu kunamwondoa mtu kwenye reli? Watu wakisema X ni mwizi wakati siyo mwizi, na yeye akaiba kwa vile watu wamesema, huoni kwamba kwa kufanya hivyo ana'prove' hicho watu wanachokisema? Mwanzoni tuliaminishwa kwamba hawa watu wako pamoja na siku moja Mbowe alisikika akisema: "kama mnadhani ndani ya chama chetu kuna mpasuko mtasubiri sana..." Kumbe ilikuwa kauli tu ya mdomoni. Hakuna jambo zuri na lenye nguvu kama kuendelea kushikamana wakati wa raha/neema na shida/matatizo.
Ndivyo alivyoamini. Lakini utashikamana vipi na mtu ambae ameonyesha dhahiri hataki ushirikiano na wewe? Watu wenye nia njema ( pamoja na Mbowe) walisema priority ya walioshinda ni lazima iwe kuunganishwa chama. Kaka yake Lissu alimshauri awe magnanimous katika victory. Wote hawa walipuuzwa na watu wakaweza katika ku settle scores. Wengine wakasema isiwe shida wakajitoa kwenye chama lakini wapi. Mbowe ameamua kujikalia kimya lakini wapi.

Mimi naamini kama uongozi wa Lissu wangewakemea wale wote wanaoendesha kampeni ya matusi dhidi ya Mbowe na wafuasi wake huu mpasuko tungeisha usahau. Badala yake watu kama Sigrada wanapigwa. Mtu kama Suzan anabezwa kuwa alikuwa amepanga alipoingia Chadema. Mtu kama Ruge anatumbuliwa kwa SMS. Huo mshikamano utatoka wapi?

Badala ya kuwalaumu walio umizwa jaribuni kuwakemea walio waumiza. Baada ya hapa majeraha yataanza kupona hata huko waliko.

Amandla...
 
Vitoto vya BATA vinaendelea kutangulizwa, hili ni jambo jema. Sasa tunamsubiri BABA BATA afike na yeye ulingoni ili tufungulie makolomeo.
 
SHETANI na MBOWE haya majina mawili sitaki kabisa kuyasikia popote!
 
Back
Top Bottom