GE2025 James Mbowe: Mbowe anatukanwa na Heche yupo kimya

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hawa wazee wa ubwabwa wanapambana na CDM kuliko wanavyopambana na CCM. Wapinzani wa mchongo
 
Heche siyo mlinzi wa Mbowe.
Mbowe ndo atueleze what happened baada ya kumtembelea TAL akahamishwa gereza.
 
Kwahiyo vineno vile vya tundu lissu ndio matusi je angetukanwa kama alivyotukanwa Samia na mdude si angeua kabisa hawa wanasiasa hawana uvumilivu kabisaa
 
Hii mitoto ambayo inategemea footprints za wazazi ku survive mjini ni hasara kwa jamìi nzima.
Shida huwa inapata MISUKULE.

Mijitu baba zao imeiba, imeipeleka shule nzuri za gharama kubwa, halafu ikirudi haizalishi chochote, inategemea TEUZI na SIASA.
 
Bilcanas hafahamu kwenye kudai haki kiongozi huumia peke yake
Soma Mandela na Mahatma Gandhi
 
Anatafuta sifa za kipuuzi.
DJ tuliwaambia kitambotu kwamba nimbabaishaji watu wakawa hawaelewi.
 
Jamani Heche kamtukana lini Mbowe?
ungesoma vizuri,hajasema Heche amesema vijana wanamtukana Mbowe na Heche na viongozi wanatazama tu na kukaa kimya.Kiungwana kumtukana mtu kisa kosa la kuhisi na kusahau sadAka yake ya kujenga Chama chenye nguvu,hili jambo litaimaliza Chadema ya sasa.Siku zote ukikabidhiwa ofisi shukuru kwa mema yaliyotendwa na mtangulizi wako
 
Shida ni kwamba kila unavyomlaumu aliyekusaidia ndivyo unavyozidi kuchanganyikiwa hii ndio inasumbua Chadema ya sasa,lawama nyingi bila kutafakari,hasira kali bila nguvu wala uwezo wa kifedha,ujeuri usiotaka suluhu.Hapa kufika wanapotaka ni ngumu.
 
Yericko kadandia mtumbwi wa vibwengo, kahamia Chauma halafu akiamini jana Freeman Mbowe anahamia Chauma mwamba kagoma.

Chawa Yericko imekula kwake na vyeo vimejaa Chauma hakuna nafasi za kupewa chawa.

Hizi siasa usipokuwa na timing nzuri imekula kwako.
 
Sidhani kama Kuna kiongozi karuhusu Mbowe kutukanwa
 
Inafikirisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…