James Mbowe: Tabia alizoonesha Lema sio tabia za Wachaga

James Mbowe: Tabia alizoonesha Lema sio tabia za Wachaga

Lema hapo arusha kakalia kuti kavu, hana udhubutu wowote sasa, kawa bendera kufuata upepo.
 
Tabia za wachaga zimeandikwa kwenye Kitabu gani nikasome?

Anhaa, au tabia za wizi na udokozi, maana..... wamachame kwa kukwapua ni noma.......

Shimboni shafooo!!! 🙌🙌🙌
Huenda historia imejirudia kiana lakini simaanishi U-Machame uko hivyo: Alichoandika dogo katika upeo wake ni pumba haswa na kwa hiyo pambaf sana yeye kwa kudhalilisha jamii kwa mtazamo wake wa hovyo. Nawapeni simulizi kidogo ambayo inahusiana zaidi na ile kitu inaitwa USALITI. Historia ya Uchagani inayo kumbukumbu ya usaliti alofanyiwa Paramount Chief na Chifu wa Machame kwa kumtumia aliyekua Mkwe wake na baadae aliepewa uwaziri wa Elimu Tanganyika ile --- kufanya usaliti dhidi ya SERA za Paramount Chief kwa himaya yake. Yes, ndo yeye aliokua na mtazamo tofauti kuhusu UHURU WA BENDERA. Usaliti ule ulipelekea anguko la utawala wa jadi enzi zile. Unyerere ukapeta. Baba yake dogo anatuhumiwa kwa hilo hilo, safari hii kwa jamii ya umma yenye uhitaji wa mabadiliko na ambayo kimtazamo ni opposite na waloshika dola. Usaliti!
 
Back
Top Bottom