Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Hii ni kauli ya kishenzi na kipumbavu ni mtu asiye na akili na mwenye inferiority complex tu anaweza kuitoa.Hawa wakina John Heche wanaodai katiba mpya kwa sasa kwanini katika kipindi cha miaka mitano iliyopita hatukuwasikia wakidai katiba mpya kwa kuanzisha makongamano yao au wanamwonea Rais kwa kuwa Rais wetu wa awamu ya sita, Samia Suluhu ni mwanamke" : James Millya
Mmojawapo wa wamasai wapumbavu kabisa.Hawa wakina John Heche wanaodai Katiba Mpya kwa sasa kwanini katika kipindi cha miaka mitano iliyopita hatukuwasikia wakidai Katiba Mpya kwa kuanzisha makongamano yao au wanamwonea Rais kwa kuwa Rais wetu wa awamu ya sita, Samia Suluhu ni mwanamke" : James Millya
Huyu marioo ndio mmasai mpumbavu no.2 ...akimfutia sendeka...yeye muda wote akiwa mbunge alikua yupoyupo tu kwa ajili ya mshahara hakuwahi kufanya lolote....aendelee kua mpamba wa lowasa makapi yote cdm walishaondokaHawa wakina John Heche wanaodai Katiba Mpya kwa sasa kwanini katika kipindi cha miaka mitano iliyopita hatukuwasikia wakidai Katiba Mpya kwa kuanzisha makongamano yao au wanamwonea Rais kwa kuwa Rais wetu wa awamu ya sita, Samia Suluhu ni mwanamke" : James Millya
Hawa wakina John Heche wanaodai Katiba Mpya kwa sasa kwanini katika kipindi cha miaka mitano iliyopita hatukuwasikia wakidai Katiba Mpya kwa kuanzisha makongamano yao au wanamwonea Rais kwa kuwa Rais wetu wa awamu ya sita, Samia Suluhu ni mwanamke" : James Millya
Kwani wamemchapa fimbo jaman ila Africa bado sana watu kudai katiba eti kisa mwanamke...hivi na kikwete alikua mwanamke ambae kwene awamu yake siasa ilikua huru kabisa....yani unawez hisi hao upinzani wanadai Mama samia awanyonyeshe kumbe ni katiba ya nchiHawa wakina John Heche wanaodai Katiba Mpya kwa sasa kwanini katika kipindi cha miaka mitano iliyopita hatukuwasikia wakidai Katiba Mpya kwa kuanzisha makongamano yao au wanamwonea Rais kwa kuwa Rais wetu wa awamu ya sita, Samia Suluhu ni mwanamke" : James Millya
Toka OLE SENDEKA akupore UBUNGE Umerukwa na Akili Chadema Wamepambana na MAGUFULI miaka 5 Wewe ndio uliikimbia Chadema ukajisalimisha kwa MAGUFULIHawa wakina John Heche wanaodai Katiba Mpya kwa sasa kwanini katika kipindi cha miaka mitano iliyopita hatukuwasikia wakidai Katiba Mpya kwa kuanzisha makongamano yao au wanamwonea Rais kwa kuwa Rais wetu wa awamu ya sita, Samia Suluhu ni mwanamke" : James Millya
Urais ni taasisi sio Mtu/jinsiHawa wakina John Heche wanaodai Katiba Mpya kwa sasa kwanini katika kipindi cha miaka mitano iliyopita hatukuwasikia wakidai Katiba Mpya kwa kuanzisha makongamano yao au wanamwonea Rais kwa kuwa Rais wetu wa awamu ya sita, Samia Suluhu ni mwanamke" : James Millya
Huyu marioo ndio mmasai mpumbavu no.2 ...akimfutia sendeka...yeye muda wote akiwa mbunge alikua yupoyupo tu kwa ajili ya mshahara hakuwahi kufanya lolote....aendelee kua mpamba wa lowasa makapi yote cdm walishaondoka
.
Yeye Millya ndie amemuona Mhe Rais kwenye sura ya mwanamke. Millya bado utoto unamsumbua, kitu kidogo nitakusemea kwa mama, dah! Na mashekhe wa uamsho ni kwa sababu Rais ni mwanamke! wanaolalamikia kubambikiwa kodi ni kwa kuwa Rais ni mwanamke! kuchukua tahadhari za korona sasa ni kwa kuwa Rais ni mwanamke! malalamiko ya Diallo ni kwa kuwa Rais ni mwanamke!. Ila kudai katiba mpya ni kwa kuwa Rais ni mwanamke. Tuba safari ndefu kuifikia asubuhi.Hawa wakina John Heche wanaodai Katiba Mpya kwa sasa kwanini katika kipindi cha miaka mitano iliyopita hatukuwasikia wakidai Katiba Mpya kwa kuanzisha makongamano yao au wanamwonea Rais kwa kuwa Rais wetu wa awamu ya sita, Samia Suluhu ni mwanamke" : James Millya
Yeye Millya ndie amemuona Mhe Rais kwenye sura ya mwanamke. Millya bado utoto unamsumbua, kitu kidogo nitakusemea kwa mama, dah! Na mashekhe wa uamsho ni kwa sababu Rais ni mwanamke! wanaolalamikia kubambikiwa kodi ni kwa kuwa Rais ni mwanamke! kuchukua tahadhari za korona sasa ni kwa kuwa Rais ni mwanamke! malalamiko ya Diallo ni kwa kuwa Rais ni mwanamke!. Ila kudai katiba mpya ni kwa kuwa Rais ni mwanamke. Tuba safari ndefu kuifikia asubuhi.