James Rugemalira kuzishtaki taasisi zilizoiibia Serikali

James Rugemalira kuzishtaki taasisi zilizoiibia Serikali

The Comedy season 1 anko Mpoki anaishtaki serikali, hii nchi sijui wanatuonaje sisi wananchi, yaani Nyani anamshitaki Ngedere kwa nini kaiba mahindi.
 
Warudishe pesa walizoiba badala ya kufanya maigizo!
Standard Chartered walishashinda kesi nje ya nchi.
 
Huyu Mzee ndiyo mzalendo namba moja Tanzania, mzalendo wa kweli na ktk madili yake anataka siyo tu marafiki zake pekee wafahidi pesa za escrow bali hata serikali yake ipate haki yake ya kodi ili nasisi tupate huduma kama miundombinu kupitia kodi zilizokwepwa na makampuni tajwa ktk kesi hii ya kizalendo.
 
Ajabu mtuhumiwa anasema hela ilikuwa yaserikali lakini Rais wa nchi alisema hela haikuwa ya serikali.
Yule ms..enge alikuwa anasema hadi tz si mali ya serikali ni mali ya mabeberu ,alikuwa takataka Ikulu, mm namuomba mungu na shetani mwaka 2025 asifikishe maana hadi sasa anaendelea kuiharibu nchi yetu na team yake ,
 
Huyu mzee anatakiwa apumzike aache sifa za kijinga
Yupo sahihi huyo mzee hii kesi yao ni kubwa aiwezi kuishwa kwa kutegemea msimu wa raisi mpumbaavu ,maana jamaa kaona bora iendelee hivyo maana akija kushika hii nchi raisi mzalendo asiyekuwa mpumbavu ujue hiyo kesi bado ipo hata kama watakuwa wamekufa itaangukia familia zao na mali zao kwahiyo kaona bora wamalize wenyewe kuliko kuwaletea familia matatizo
 
Yupo sahihi huyo mzee hii kesi yao ni kubwa aiwezi kuishwa kwa kutegemea msimu wa raisi mpumbaavu ,maana jamaa kaona bora iendelee hivyo maana akija kushika hii nchi raisi mzarendo asiyekuwa mpumbavu ujue hiyo kesi bado ipo hata kama watakuwa wamekufa itaangukia familia zao na mali zao kwahiyo kaona bora wamalize wenyewe kuliko kuwaletea familia matatizo
mzalendo, Rais
 
Ajabu kuna watu humu ht kusoma hii habari wakaelewa hawajaisoma wamekurupuka ku comment mara Mwendazake kaitia hasara inchi, mara apewe bandari mara anaidai serikali...JF imekua na watu wa hovyo sana now days, ht km ni Uhuru wa mawazo huu hapana aisee...
and this is a reflection ya jinsi information warlfare ilivyo ngumu..mtu anaweza kufanya character assasination na mijitu ya hovyo yakarukia habari ki ushabiki shabiki bila ku verify habari husika
 
Uko sahihi sana!!
 
Mwendazake ni mleta hasara tu kwa nchi.
  • Alikamata meli ya kigeni,mwisho wa kesi nchi ikalipa wageni,
  • Akahonga nyumba za serikali kwa washikaji na concubines,serikali ikala hasara,
  • Ujenzi wa "mabharabhara" na ununuzi wa "vivukio" ukafanywa kimagumashi,serikali ikalipa na kula hasara,
  • Kawasotesha "watu" bila hata hatia,wanaidai serikali.Italipa na kuleta hasara/mahasara.Yuleee,akajitorokea aibu!
Kuna sehemu hujaelewa, mzee rugemalira anaisaidia serikali kulipwa pesa zake.
Sio kwamba anaishitaki
 
Huyu Mzee ni mwanaume kweli ,Hawezi kufanya afanyayo bila backup ,nadhani wenye Nchi wamempa go ahead.Tunamtakia Kila la heri Mungu amtie nguvu na kumsimamia.Sisimizi anaenda kumuua Tembo.Watanzania mkumbuke siku Nchi hii ikipata Rais mwenye maono ndani ya miaka kumi tu umasikini utakua historia.
 
huyu mzee...dah.....anachokonoa mwamba wa DHAHABU kwa vidole.....sijui washauri wake ni wakina nani.....???....angenyamaza kimya nini kingemsibu.....au ndio mkuki kwa mkuki???? wa kwake ncha kainoa vema??? vita ya majasusi wastaafu na walioko kazini............wacha tulipilize bange letu....busy na machinga kwa sasa....
 
Sidhani kama Mzee Ruge amekurupuka tu kufungua kesi hii ni dhahiri anajua akifanyacho.
Na kupitia kesi hii kuna mengi yatachwa uchi wa mnyama.
 
Mwendazake ni mleta hasara tu kwa nchi.
  • Alikamata meli ya kigeni,mwisho wa kesi nchi ikalipa wageni,
  • Akahonga nyumba za serikali kwa washikaji na concubines,serikali ikala hasara,
  • Ujenzi wa "mabharabhara" na ununuzi wa "vivukio" ukafanywa kimagumashi,serikali ikalipa na kula hasara,
  • Kawasotesha "watu" bila hata hatia,wanaidai serikali.Italipa na kuleta hasara/mahasara.Yuleee,akajitorokea aibu!
Badala ya ubongo ,kichwa chako kimejaa kamasi za kondoo
 
mzalendo, Rais
Kwani wewe ujui kiswahili ni lugha mbovu sana bado sasa Rais ndiyo kitu gani kwenye sarufi za kiswahili tatizo tunatabia ya kujiona wasomi kwa kushikamana na makosa ....lugha sahihi ni RAISI SIYO RAIS
Mfano maeno KAZI RAHISI huwezi kusema KAZI RAHIS kiswahili hakina mtindo huo, sema wasomi feki tulio nao ndiyo wamesababisha neno Raisi liwe kosa wakati ndiyo neno sahihi
 
Back
Top Bottom