James Rugemalira kuzishtaki taasisi zilizoiibia Serikali

Ni kweli kabisa Mkuu
 
Mzee ameona mbali sana.
 
Ni kweli.
 
Unadhani rugemalila ana njaa Kama wewe umelizika na kamshahara kako ka laki 9 na ka IST unajiona maisha umemaliza

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Unadhani rugemalila ana njaa Kama wewe umelizika na kamshahara kako ka laki 9 na ka IST unajiona maisha umemaliza

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Tell him,boss!Mzee anajua akifanyacho na ndiyo maana hata kwa vitisho,mateso na kutupwa jela aligoma kumpa hela "zake" mwendazake!Still going stronger!
 
Anachokitaka huyu Mzee watampeleka haraka alikoenda JPM!
 
Huyu Mzee anajua mambo mengi sana ambayo serikali haiyajui ama imeyafumbia macho makusudi..

Kwa hii kesi ndio utajua hii nchi inaliwa kwa namna gani

Kikwete kuna maswali inabidi atusaidie kujibu hapa.
Kweli kabisa Kikwete anatakiwa atueleze ilikuwa je atua, vie kuwa hizo pesa zilikuwa si za Serikali.

Na wale wanaosema watu walibamvikiwa kesi watie neno hapa pia.
 
Mzalendo baada ya kukaa jrla miaka 4?
Tuseme basi uzalendo kajifunzia jela
 
Kuna sehemu hujaelewa, mzee rugemalira anaisaidia serikali kulipwa pesa zake.
Sio kwamba anaishitaki
Lakini ujue kuna watu walikuwa behind kwenye hii kitu,, siyo mchezo mdogo,,
ACACIA wapi????
 
kama ana ushahidi wa kutosha na ikafanikiwa kuwatia hatiani basi Mzee Ruge atakuwa shujaa wa karne.
sisi wazalendo tunamtakia kila la heri kwa maana nacho kipigania ni Haki ya wananchi wanyonge, fedha za watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…