James Rugemalira kuzishtaki taasisi zilizoiibia Serikali

Mtanzania ametanguliza mahaba kabla ya ufahamu....

Watanzania hawasomi habari wakaelewa bali wanasoma habari ili wapate Cha kujibu huku wakiwa Wana majibu yao kichwani........
 
Et tirioni ngapi?...68 tunalipa madeni yote tangu Uhuru! Alisikika jamaa mmoja pale Waitihausi!
 
Tetetete Bashite kwenye ubora wako
 
Nafikiria tu, mfano mzee akavuna hizo 61 trillioni anazowadai hao wachepushaji, serikali itazichukua au na yale madhila waliyomfanyia ndio watatoa kidogo hapo wamlipe fidie.
 
Huyu Mzee anajua mambo mengi sana ambayo serikali haiyajui ama imeyafumbia macho makusudi..

Kwa hii kesi ndio utajua hii nchi inaliwa kwa namna gani

Kikwete kuna maswali inabidi atusaidie kujibu hapa.
Zoezi lilianza 2002 huko,JK akusaidie nini?Y usimfufue Ben ndiyo akusaidie!.
 
Huyu Mzee anajua mambo mengi sana ambayo serikali haiyajui ama imeyafumbia macho makusudi..

Kwa hii kesi ndio utajua hii nchi inaliwa kwa namna gani

Kikwete kuna maswali inabidi atusaidie kujibu hapa.
Kikwete akikujibu unitag pleaze[emoji57][emoji57]
 
Kalia dole la kati[emoji867][emoji867] soma uelewe sio kilakitu unamuangushia jumba bovu magufuli.
 
Hapa nilimaanisha endapo ukwapuaji huu unahusisha baadhi ya vigogo wa serikali, kuna uwezekano mkubwa hii kesi ikapotezewa. Yetu macho.
Eeh hilo nalo neno! Kama kuna 10% zilishapitaga hapo kesi hamna
 
Zoezi lilianza 2002 huko,JK akusaidie nini?Y usimfufue Ben ndiyo akusaidie!.
Kumtoa JK kwenye hili suala ni kama kujaribu kuuficha moshi.
Mkapa,JK kwenye umeme wana Cha kujibu duniani na ahera
 
Jiwe kwa Nini hakumsikiliza
Je, jiwe ni binadamu? Hana utu na mtumia mabavu, JK alimweka makusudi kwa sababu sisi kulialia, anasema anawaletea mkali ikawa balaa, mwenyewe JK anachekaaa, na kusema anaongoza vizuri sana!
 
Homa ya Magufuli haitaisha sasa hivi.
Kesi za huyo mzee got none to do with Magu ila Kikwete...

Meza vidonge mkuu ..[emoji1787]
 
mhaya yoyote huwa anapenda kesi kuliko kitu kingine kwao kuwa na kesi ni sifa sana mnaweza mkakaa mahakamani miaka yeye hachoki na kesi
 
na Wahaya wanavopenda kesi ?

mbona mtaomva po ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…