James Sinclair: A Friend or Foe?

On the second note, we need to ask Kikwete and Tume ya Madini how come the foreign person, an investor who controls majority of our mining business will have first hand information of contents of Kamati ya Madini but out Parliament does not have a clue?

We need to ask Kikwete hard questions who employed him, is it Watanzania or Barrick and Sinclair?

Why would he Kikwete assure the Wawekezaji safety of their investment, but can not assure Watanzania safety of their natural resources and its revenue gained?
 

Ni sawasawa kusema "Tumeuziwa mbuzi kwenye gunia". Ushkaji unaendelezwa mpaka kwenye anga zisizo-deserve ushkaji.. i.e. National Security.

This is breach on Leadership Ethics & National Security, and deserves parliamentary enquiry kwamba huyu jamaa alizipataje hizi info kabla ya sisi wadanganyika hatujazipata, na kabla ya wawakilishi wetu bungeni hawajaiona hiyo report. Na atakayejulikana kampatia hizi habari huyu Sinclair kishkaji inabidi AWAJIBISHWE. Ushkaji unatumaliza wadanganyika. We should fight to end it!!!!

Wabunge wanakutana this week... This matter needs to be dealt with URGENCY & SERIOUSNESS... La sivyo nchi itaendelea kumalizwa na washkaji wachache.... We must stop this!!! Zitto et al, please work on this.
 
Mr. Sinclair's company trades both on the AMEX (American Stock Exchange) and TSN (Toronto Stock Exchange) under the ticker symbol TRE. I am by no stretch of the imagination a lawyer or have in depth knowledge of the financial markets. However, I do know that once companies are publicly traded, they are supposed to abide by the rules and regulations of the regulatory body overseeing the exchange.

Suppose I was pontificating the decision to add TRE stock to my existing portfolio and I come across Sinclair's statement on the company's website. One could argue that this may somehow influence my decision to invest in the company, and as we all know, trading or investing based on material nonpublic information is a gross violation of SEC rules. For further insight into this scenario one may refer to http://www.sec.gov/answers/insider.htm, as a matter of fact it wouldn't be such a bad idea to forward the JF e-mail to the SEC, the investor relations departments of AMEX and TSN, it might just instigate a probe into this shameful ordeal.

On another note, haya magazeti yetu hayafahamu kinachoendelea? Mbona hatujasikia chochote kwenye media? I believe kila mtanzania ana haki ya kufahamu kinachoendelea.
 
Hii Issue inatia aibu Taifa na kututia aibu watanzania kuliko ambavyo tunafikiri.

Lazima tufanye kila kinachoweza kufanyika ili ilete Impact sahihi.

Ni kweli sijui kwanini vyombo vya habari vimeifungia macho kabisa' au hawaielewi nini?

Vyombo vya habari tunategemea muhusike kwa kishindo kuliko mlivyo sasahivi.

Please Amkeni!

Na wanakamati wa tume once you get this news seriously we want to see your responce!
 
zito kabwe si yupo hapa jf? tunaomba comments zako. je ni ninyi milimpa huyu mzungu hii ripoti? au ni bwana kikwete? hivi hii nchi imelaniwa? uzalendo umeenda wapi siku hizi?

nyerere uko wapi?
 
zito kabwe si yupo hapa jf? tunaomba comments zako. je ni ninyi milimpa huyu mzungu hii ripoti? au ni bwana kikwete? hivi hii nchi imelaniwa? uzalendo umeenda wapi siku hizi?

nyerere uko wapi?

Huu mtizamo sahihi!
 

It will be wise as well kuituma kwa magazeti tofauti na stock exchanges za Toronto na USA, lazima kuna mtu au kikundi wataichukua na kuiweka kwenye media. Hawa walafi wanaokula bila kunawa mikono lazima tuwaanike.
 
Another useful & most efficient way... Kuiweka kwenye powerpoint slides then kuibandika kwenye youtube. Then tunaweza tukawa tunai-refer kwa major news organizations kwa kutumia link ya uko youtube, and I'm certain wataichomeka kwenye news tu.

Kama kuna mtaalam wa mambo ya computer anaweza kutusaidia kwenye hili. Nimeshaona habari kwenye CNN ambazo wana-quote powerpoint slides kutoka kwenye youtube.

Tunaweza kuimega into 2 or 3 slides, mradi maandishi yawe legible.
 
Subirini ripoti itakayotoka Jumatano kuhusu suala hili... unless the gvt preempty by clarifying the nature of Mr. Sinclair's knowledge of this crucial and sensitive document.
 
Mi nakubaliana nayo kwa asilimia 100, na tuitume kwenye sehemu nyingine muhimu kama walivyoshauri wenzangu, tusiishie hapo barua zote mbili ni vyema zikaenda pia kwenye magazeti kama Raia mwema, Daily News na Mwanahalisi.
 
Nawezaje kupata email address ya jf ili nisitumie email yangu yenye identity yangu? nisaidieni!
 
nipeni jina la kampuni yake huku UK mimi nitamfanyia kazi as long as moderators hawatonijia juu eti nimemweka wazi mno huyu mtu

maana kuna watu hujifanya wako mstari wa mbele lakini wengine tukienda beyond kawaida tunaambiwa offf his personal life is private etc
 
Majigamba ya Sinclair.....jinsi alivyojitajirisha yeye na wenzake kwa mali yetu sisi....


Bado akizidi kutambia mali Mungu aliyotupa


Akimsifia swahiba wake,baada ya EL kujiuzulu


Akifurahia mali zetu duh....uuuuuuuuwiiiiiii

Dear CIGAs,
Gold is going to $1050 and then on to $1650. Please STOP getting upset from the modest setbacks.
Remember, every sixty seconds you spend upset is a minute of happiness you'll never get back.


Namalizia kuwa tuendako kunatisha tuliemdhania ndiye kumbe siye na huenda akawa ni mbaya zaidi kuliko wote waliopita maana ye acheka cheka tu....ujuwe ana dharau kubwa sana.......EWE MUNGU TUMULIKE WANYONGE AND SAY YES KWA SALA ZETU


https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=8223
http://www.miningwatch.ca/index.php?/Barrick/Companies_and_Events
 


Jamani chombo maarufu wa Financial cha Bloomberg.com walishawai kutoa data za huyu Sinclair mwezi wa nne. Yeye akakanusha, sasa tunaweza kuwaonyesha ni kwa jinsi gani Sinclair and his company are manipulating things in Tanzania in order to please Investors in North America, we can ask if they think Sinclair follows the moral conducts in order to archive the mission and vision of his organization.

Also, we can question those investors who add TRE stock in their portfolios " Would they keep TRE stock if the knew their company is putting Tanzanian peace and harmony into danger"? What the difference between Investing in TRE and investing in Blood Diamond from Ivory Cost?

Let call and Fax bloomberg, for those in US let fax the article and our response to bloomberg. I attached the article on top and our response at the bottom. Let make phone call and fax.

Atlanta: Phone: 404-507-1300, Fax: 404-524-3668
Boston: Phone: 617-210-4600, Fax: 617-482-0703
Chicago😛hone: 312-443-5900, Fax: 312-449-0504
Cleveland: Phone: 330-725-7300, Fax: 330-725-7335
Dallas: Phone: 214-855-5103, Fax: 214-855-5156
Detroit: Phone: 248-827-2950, Fax: 248-355-4396
Houston: Phone: 713-353-4870, Fax: 713-353-8798
Los Angeles: Phone: 323-782-4220, Fax: 323-782-4270

For those in UE, please visit www.bloomberg.com and then click contact us, then choose the country.
Let fax as many city office as posible, also lets make phone call as follow up.

Nitaweka contact za WSJ.com, nitaweka contact CNBC.com, foxbusiness.com, borons.com.
 
MOD PLEASE ziunganishe thread zinzohusiana na JS pamoja na hii ili zipate mtiriiko mzuri....na kwa vile ndugu patriotic Mkulu Kuhani Mkuu ameamua jambo muhimu sana from kijiwe cha dataz na udaku to actions.....kwa kweli ni mojawapo za action tunazohitaji hapa JF...ili hapo baadaye wana JF waje kujivunia kuwa tume accomplish something
 

nadhani wangeanza na kuunganisha threads za BALALI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…