Kwani uwanja wa ndege ndani ya Serengeti umesha anza kujengwa?
Mie nilisikia habari ya hoteli na uwanja wa ndege pia? sasa hapo si itakuwa balaa kwani udhibiti wa nyara zetu utakuwa mgumu sana, si hilo tu lakini hata mapato ya jiji la Arusha yataathirika kwa namna moja ama nyingine, kwani watalii waweza kuwa wanatua juu kwa juu mbugani na kulala huko huko na kuishia huko huko mbugani, sasa hii itakuwa sawa?
Back to the topic hii ya sinclair ni tusi na dharau kubwa sana kwa JK! naamini akisoma makala hii naye atajutia alicho kifanya!
Thanks Lula.. kwa makla yenye facts na mguso