James Sinclair: A Friend or Foe?

James Sinclair: A Friend or Foe?

Kwani uwanja wa ndege ndani ya Serengeti umesha anza kujengwa?

Mie nilisikia habari ya hoteli na uwanja wa ndege pia? sasa hapo si itakuwa balaa kwani udhibiti wa nyara zetu utakuwa mgumu sana, si hilo tu lakini hata mapato ya jiji la Arusha yataathirika kwa namna moja ama nyingine, kwani watalii waweza kuwa wanatua juu kwa juu mbugani na kulala huko huko na kuishia huko huko mbugani, sasa hii itakuwa sawa?

Back to the topic hii ya sinclair ni tusi na dharau kubwa sana kwa JK! naamini akisoma makala hii naye atajutia alicho kifanya!
Thanks Lula.. kwa makla yenye facts na mguso
 
Hebu tupe vizuri hiyo ya uwanja wa ndege wa serengeti,i post kama thread ya peke yake ikiwa imejaa fact za kutosha. ili tufananishe apple na apple yaani JK na BWM. Duuuh je tutafika?
 
Waheshimiwa nimefanya editing ya mambo machache na kuiandaa barua yetu hii na kuiweka katika PDF pamoja na some contacts information. Kuna makala inatarajiwa kutoka kesho nyumbani kuendana na uwepo wa barua hii. Naomba yeyote ambaye anataka kushiriki katika hii citizen activism kuichukua barua hii na kuisambaza kwa yeyote yule na hasa wabunge wetu.

Ukienda kwenye tovuti ya Bunge - http://www.parliament.go.tz na kwenda kwenye "Questions and Answers" utapa info za wabunge wote na email zao.. hivyo chagua angalau wabunge 10 randomly (vinginevyo wote mtawaandikia wabunge kumi wa mwanzo) na kuwatumia nakala ya barua hiyo.

Together we can change our nation, alone we will be changed by inaction - M.M. Original
 

Attachments

Angalieni msiwatumie wabunge technically challenged attachments za PDF wakashindwa kuzifungua.

Inatakiwa unatuma in text/ doc na kuwapa link ya pdf ambayo hata browser inaweza kufungua.
 
Wabunge wa Tanzania wengi wanatumie address za yahoo na gmail, zile za bunge hawatumii. Hata hivyo siyo mbaya kujaribu.
 
Waheshimiwa nimefanya editing ya mambo machache na kuiandaa barua yetu hii na kuiweka katika PDF pamoja na some contacts information. Kuna makala inatarajiwa kutoka kesho nyumbani kuendana na uwepo wa barua hii. Naomba yeyote ambaye anataka kushiriki katika hii citizen activism kuichukua barua hii na kuisambaza kwa yeyote yule na hasa wabunge wetu.

Ukienda kwenye tovuti ya Bunge - http://www.parliament.go.tz na kwenda kwenye "Questions and Answers" utapa info za wabunge wote na email zao.. hivyo chagua angalau wabunge 10 randomly (vinginevyo wote mtawaandikia wabunge kumi wa mwanzo) na kuwatumia nakala ya barua hiyo.

Together we can change our nation, alone we will be changed by inaction - M.M. Original

Shukrani kubwa kwa juhudi zako Mkuu.
 
Ni muhimu tuwe selective wakati wa kuchagua wabunge wa kuwafordia hii barua, some of them watahitaji maelekezo yetu juu ya nini cha kufanya baada ya kuisoma!
 
Sasa mkiambiwa kuwa JK ana hisa katika mojawapo ya makampuni ya Sinclair na kufanikiwa kwa Sinclair ni kufanikiwa kwa ukoo wa Kikwete si ndio kila kitu kitakuwa kinaeleweka. Hivi mnafikiri JK anamsaidia na kumpa habari kwa sababu ya urafiki tu na hana maslahi mengine?...

Ndio unatuambia au tungojee kuambiwa?
 
duh! yaani hamna imani na wabunge wenu ninyi? Halafu wabunge si ndio supposedly the best of our society? sasa kama hata email na pdf inakuwa ngumu.. what does that about us?
 
Imekaa fresh sana, na asipojibu basi nasi tutimize ahadi yetu ya kutolala mpaka kieleweke.

Sidhani imani nao haipo bali imepungua sana (sio kwa kushindwa kufungua mails) bali for not doing what they are suppossed to do. ...
 
Mkuu asante sana!

Biblia inasema kuwa hata Mungu anachukia mtumwa kuwa mfalme. Sasa tujiulize kulikoni hapa?
 
Huu ni ushaidi wa moja kwa moja kwamba urais wake una ubia na mafisadi japo kwenye hotuba yake ya kwanza wakati alipochagulia alisema urais wake hauna ubia lakini sasa tunagundua mambo yaliyomo nyuma ya pazia..kama alisema lowasa alipata ajali ya kisiasa basi na yeye 2010 hiyo ajali inamsubiri. hatuwezi kuendelea kuvumilia haya maigizo yatakuja kuua vizazi vyetu. nashuku hii ripoti ipo kwenye gazeti kama tulivyoshauri hata wale ambao hawana mtandao wanaweza kuisoma kwenye raia mwema.
 
Hivi Salva anaweza kuelezea ni jinsi gani Sinclair amepata taarifa hizo za mapendekezo ya Kamati?
 
Sasa kwa maelezo ya Jim yanatoa picha nzuri ya urafiki kati yake na JK, Inaonyesha ni kiasi gani kunauzembe hapo, Jime you are insulting us, you are insulting Tanzanians

Mwanakijiji thank you so very much....
 
James Sinclair (Chairman- Tanzania Royalt,Tan Ridge,and TANZAM 2000 had at onetime through his official website predicted that he is very sure that JOSEPH KULWA KAHAMA (Vice President Tanzania Royalty) Shall be Tanzania's next President after Kikwete. I do not know his capacity in our affairs but this guy seems to be our future danger if he is not dealt with by all posible means.

IT'S TIME WE WOKE UP
 
Back
Top Bottom