James Tupatupa King of Sport's Segment at Clouds FM Jumatatu hadi Ijumaa

sema kile kijamaa kinaona pale ndio kimefika yaan kigoma mwisho wa reli nyodo nyingi kama kina hisa pale
 
 
sema kile kijamaa kinaona pale ndio kimefika yaan kigoma mwisho wa reli nyodo nyingi kama kina hisa pale

Kwa tunaomjua vyema James Tupatupa kwa haya Maelezo yako hapa tunaona unamuonea kabisa kwani hayupo hivyo kabisa na hakuna Mtu ambaye ni very Social and Friendly kama Yeye. Ukiachia mbali tu Uweledi wake katika Utangazaji na Uandishi wa Habari uliojaa Ubunifu mkubwa ili Kuongeza thamani katika Kazi zake mbalimbali pia Jamaa ( James Tupatupa ) ana Vipaji vingi tu na sishangai ndiyo maana anakubalika na Wasikilizaji pamoja na Watazamaji wake. Siku zingine muwe mnajitahidi Kuficha Chuki zenu zisizo na maana na punguzeni pia Wivu wa Kijinga kwa wale ambao labda mnaona au mnahisi wamewazidi.
 
Hapo kwenye Amplifier hakuna kitu siku hizi tangu aingie huyo Meena Ally amemuharibu kabisa Millard kawa ZEZETA !
Nashauri wabadilishwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…