James Tupatupa King of Sport's Segment at Clouds FM Jumatatu hadi Ijumaa

James Tupatupa King of Sport's Segment at Clouds FM Jumatatu hadi Ijumaa

sema kile kijamaa kinaona pale ndio kimefika yaan kigoma mwisho wa reli nyodo nyingi kama kina hisa pale
 
Habari zenu wadau wa jukwaa hili,natumai mko vyedi kabisa,,Clouds FM kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa ina vipindi 7 ukijumlisha na Night kali ya Dj Elly the big Dady vinakua 8 including(Power breakfast,Leo tena,XXL,Jahazi,Amprifier,Sports Xtra na Ala za roho ambayo ijumaa huwa ina'replacewa na So so Fresh)Kati ya vipindi vyote hivi 7 kama sio 8 Vitatu tu ndo vina segment ya Michezo ukitoa Sports Xtra yenyewe kuna Hili game pale Power breakfast inayofanywa na Prisca Kishamba au Shaffih Dauda,Pia Nje ya Chaki pale XXL inayofanywa na James Tupatupa au Nicasius Kotinyo,pia Michapo ya Michezo pale Jahazini ikisimamiwa na Edigar Kibwana,Yahya Njenge au Issa Maeda,,,James Tupatupa"Turupa the Wonder boy superformer"pale nje ya Chawise anawafunika sana wenzake kwenye Segments zao,Ni mbunifu sana hasa ku'link muziki na Michezo pia yuko vizuri sana kwenye kuunganisha Neno au Mstari wowote Aliousema msanii aliekuja kwenye interview na tukio la kimichezo lililotokea,Big time Chaliangu Turupa I real appreciate you're so Talented buddah.
@ChaliiYaKijengeJuu lakini nalala Chini.
 
sema kile kijamaa kinaona pale ndio kimefika yaan kigoma mwisho wa reli nyodo nyingi kama kina hisa pale

Kwa tunaomjua vyema James Tupatupa kwa haya Maelezo yako hapa tunaona unamuonea kabisa kwani hayupo hivyo kabisa na hakuna Mtu ambaye ni very Social and Friendly kama Yeye. Ukiachia mbali tu Uweledi wake katika Utangazaji na Uandishi wa Habari uliojaa Ubunifu mkubwa ili Kuongeza thamani katika Kazi zake mbalimbali pia Jamaa ( James Tupatupa ) ana Vipaji vingi tu na sishangai ndiyo maana anakubalika na Wasikilizaji pamoja na Watazamaji wake. Siku zingine muwe mnajitahidi Kuficha Chuki zenu zisizo na maana na punguzeni pia Wivu wa Kijinga kwa wale ambao labda mnaona au mnahisi wamewazidi.
 
Habari zenu wadau wa jukwaa
hili,natumai mko vyedi kabisa,,Clouds FM kuanzia
Jumatatu hadi Ijumaa ina vipindi 7 ukijumlisha na Night kali ya Dj Elly the big Dady vinakua 8 including(Power breakfast,Leo tena,XXL,Jahazi,Amprifier,Sports Xtra na Ala za roho ambayo ijumaa huwa ina'replacewa na So so Fresh)Kati ya vipindi vyote hivi 7 kama sio 8 Vitatu tu ndo vina segment ya Michezo ukitoa Sports Xtra yenyewe kuna Hili game pale Power breakfast inayofanywa na Prisca Kishamba au Shaffih Dauda,Pia Nje ya Chaki pale XXL inayofanywa na James Tupatupa au Nicasius Kotinyo,pia Michapo ya Michezo pale Jahazini ikisimamiwa na Edigar Kibwana,Yahya Njenge au Issa Maeda,,,James Tupatupa"Turupa the Wonder boy superformer"pale nje ya Chawise anawafunika sana wenzake kwenye Segments zao,Ni mbunifu sana hasa ku'link muziki na Michezo pia yuko vizuri sana kwenye kuunganisha Neno au Mstari wowote Aliousema msanii aliekuja kwenye interview na tukio la kimichezo lililotokea,Big time Chaliangu Turupa I real appreciate you're so Talented buddah.
@ChaliiYaKijengeJuu lakini nalala Chini.
Hapo kwenye Amplifier hakuna kitu siku hizi tangu aingie huyo Meena Ally amemuharibu kabisa Millard kawa ZEZETA !
Nashauri wabadilishwe
 
Back
Top Bottom