Maswali kama Heche una magari mangapi, uliyanunua lini, hoteli Dubai ulikuwa unalipiwa na nani, nani kakuwekea pesa benki, yatasaidia nini kuthibitisha uhaini wa Lissu.
Kinachoendelea sasa mahakamani ni maigizo ya Mawakili wa serikali ya kukichafua chama na viongozi wake.
Futeni hii kesi haina faida kwa taifa, kama Lissu atahukumiwa kunyongwa basi Majaji wa Tanzania wataingia kwenye rekodi ya Dunia kutoa hukumu ya uhaini wa kupindua nchi uliotekelezwa na mtu mmoja.