Sasa unakiaibisha vipi chama wakati wote tunajuwa maslahi makubwa wanayopokea Wabunge hapo kuna lipi la ajabu?Naona hoja ni kukibagaza au kukiaibisha Chama na Viongozi wao na sio kubainisha na kuthibitisha uhaini.
ok.Maswali kama Heche una magari mangapi, uliyanunua lini, hoteli Dubai ulikuwa unalipiwa na nani, nani kakuwekea pesa benki, yatasaidia nini kuthibitisha uhaini wa Lissu.
Kinachoendelea sasa mahakamani ni maigizo ya Mawakili wa serikali ya kukichafua chama na viongozi wake.
Futeni hii kesi haina faida kwa taifa, kama Lissu atahukumiwa kunyongwa basi Majaji wa Tanzania wataingia kwenye rekodi ya Dunia kutoa hukumu ya uhaini wa kupindua nchi uliotekelezwa na mtu mmoja.

Haya mambo hayatabiriki siku hizi, wanaweza kufanya maamuzi yatakayo ishangaza dunia na hatutakuwa na cha kufanyaJamhuri ilifungua kesi kwa mihemuko na kwa kujipendekeza.
BAADHI ya viongozi wanapenda kujipendekeza kwa kuwafrahisha watawala
1.Walifungua kesi kwa mazoea
2.kesi imekuwa ngum kumeza hawajui Cha kufanya
Hii kesi cdhani kama majaji watawabeba mpaka mwisho
Ni aibu kubwa mno kwan wanafunzi wa wanaosoma vyuo
Watajifunza Nini kuhusu kesi ya rissu
Rubbish