Hamna kesi hapoMaswali kama Heche una magari mangapi, uliyanunua lini, hoteli Dubai ulikuwa unalipiwa na nani, nani kakuwekea pesa benki, yatasaidia nini kuthibitisha uhaini wa Lissu.
Futeni hii kesi haina faida kwa taifa, kama Lissu atahukumiwa kunyongwa basi Majaji na Tanzania itaingia kwenye rekodi ya Dunia kutoa hukumu ya uhaini kwa hoja nyepesi kama hizi.
Ulisha wahi kusikia wapi uhaini wa kupindua serikali unatekelezwa na mtu mmoja.
Kinachoendelea sasa mahakamani ni maigizo ya Mawakili wa serikali na kukichafua chama na viongozi wake.
Aibu sana kwaoMaswali kama Heche una magari mangapi, uliyanunua lini, hoteli Dubai ulikuwa unalipiwa na nani, nani kakuwekea pesa benki, yatasaidia nini kuthibitisha uhaini wa Lissu.
Futeni hii kesi haina faida kwa taifa, kama Lissu atahukumiwa kunyongwa basi Majaji na Tanzania itaingia kwenye rekodi ya Dunia kutoa hukumu ya uhaini kwa hoja nyepesi kama hizi.
Ulisha wahi kusikia wapi uhaini wa kupindua serikali unatekelezwa na mtu mmoja.
Kinachoendelea sasa mahakamani ni maigizo ya Mawakili wa serikali na kukichafua chama na viongozi wake.
Na Leo kamwambia jaji ndungulu anataka akutane na mashahidi wake watatu wajadiliane kuhusu kesi yaoMaswali kama Heche una magari mangapi, uliyanunua lini, hoteli Dubai ulikuwa unalipiwa na nani, nani kakuwekea pesa benki, yatasaidia nini kuthibitisha uhaini wa Lissu.
Futeni hii kesi haina faida kwa taifa, kama Lissu atahukumiwa kunyongwa basi Majaji wa Tanzania wataingia kwenye rekodi ya Dunia kutoa hukumu ya uhaini wa kupindua nchi uliotekelezwa na mtu mmoja.
Kinachoendelea sasa mahakamani ni maigizo ya Mawakili wa serikali na kukichafua chama na viongozi wake.
Jamaa hawana aibu kabisa!Aibu sana kwao
Maswali kama Heche una magari mangapi, uliyanunua lini, hoteli Dubai ulikuwa unalipiwa na nani, nani kakuwekea pesa benki, yatasaidia nini kuthibitisha uhaini wa Lissu.πππMaswali kama Heche una magari mangapi, uliyanunua lini, hoteli Dubai ulikuwa unalipiwa na nani, nani kakuwekea pesa benki, yatasaidia nini kuthibitisha uhaini wa Lissu.
Kinachoendelea sasa mahakamani ni maigizo ya Mawakili wa serikali ya kukichafua chama na viongozi wake.
Futeni hii kesi haina faida kwa taifa, kama Lissu atahukumiwa kunyongwa basi Majaji wa Tanzania wataingia kwenye rekodi ya Dunia kutoa hukumu ya uhaini wa kupindua nchi uliotekelezwa na mtu mmoja.
Naona hoja ni kukibagaza au kukiaibisha Chama na Viongozi wao na sio kubainisha na kuthibitisha uhaini.Maswali kama Heche una magari mangapi, uliyanunua lini, hoteli Dubai ulikuwa unalipiwa na nani, nani kakuwekea pesa benki, yatasaidia nini kuthibitisha uhaini wa Lissu.
Kinachoendelea sasa mahakamani ni maigizo ya Mawakili wa serikali ya kukichafua chama na viongozi wake.
Futeni hii kesi haina faida kwa taifa, kama Lissu atahukumiwa kunyongwa basi Majaji wa Tanzania wataingia kwenye rekodi ya Dunia kutoa hukumu ya uhaini wa kupindua nchi uliotekelezwa na mtu mmoja.
Neno uhaini watalipatia tafsiri ya kisheria huko huko mahakamani.Uhaini wa lisu huu hapa
Kampatie CDF aupeleke mahakamani kesho ni zamu yake kutoa ushahidi.Uhaini wa lisu huu hapa
Kwa mbaali kama kuna kitu kinaandaliwa kilandane na majibu ya madodoso ya ile tume ya Cd na hii nyingine. Kuhusu pesa ya kulipwa vijana waliokinukisha oktoba. Ni maoni yangu. Ngoja tuone mwisho wake.Maswali kama Heche una magari mangapi, uliyanunua lini, hoteli Dubai ulikuwa unalipiwa na nani, nani kakuwekea pesa benki, yatasaidia nini kuthibitisha uhaini wa Lissu.πππ