Jamhuri imeshindwa kuthibitisha makosa ya Uhaini imebaki kujadili HOJA BINAFSI za mashahidi

Naona hoja ni kukibagaza au kukiaibisha Chama na Viongozi wao na sio kubainisha na kuthibitisha uhaini.
Sasa unakiaibisha vipi chama wakati wote tunajuwa maslahi makubwa wanayopokea Wabunge hapo kuna lipi la ajabu?
 
Kizuri ni kwamba Lisu ametangulia wengine wanafuata.
Kitendo cha kuanzia na ushahidi wa Mnyika, Golugwa, Brenda na Heche kinampa nafasi ya kuwafanya atakavyo mashahidi waliobaki.
TUSUBIRI.
 
ok.
 
Haya mambo hayatabiriki siku hizi, wanaweza kufanya maamuzi yatakayo ishangaza dunia na hatutakuwa na cha kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…