Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Wewe ni Lunyasi au wa Jangwani? Tutambuane kabisaNilikumis
Na Nilijua Utakuwa Wewe Tuuh,
Karibu Jamhuri.
Wacha kabisa Mtani. Inabidi tujiandae kwa kweli.Makajiandaee Kwao Uko Msije kurudi Kwa Huzuni
Sawa Mkuu.Asante mkuu.. Nami narudisha salamu, tuendelee kushuhudia mtanange huu
[emoji38] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Kila la heri mnyama yangu mimi
This is..............we are Simba
Tukutane kwenye uzi wetu ukuje[emoji38] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Duuh.This is..............
Jangwani mna roho ngumu sana, yaani picha iko waazi kabisa lakini hamtaki kukubali, haya subirini tuwaonyeshe kazi maana leo mmehamia Mtibwa SukariHahaaaa. Mie siamini Ubingwa kama ni wenu mpaka game ya mwisho ya ligi hapo ndio nitaamini Sesten.
Mi Simba MkuuWewe ni Lunyasi au wa Jangwani? Tutambuane kabisa
Hahahahaaa, kama nakuona vile pressure ilivokua juu....mwaka huu mtaisomaDuuh.
Hahaaaa. Picha ipi Ses, yaani Point 03 ndio tuamini kwamba mshakuwa mabingwa jamaani. Wakati ligi bado.Jangwani mna roho ngumu sana, yaani picha iko waazi kabisa lakini hamtaki kukubali, haya subirini tuwaonyeshe kazi maana leo mmehamia Mtibwa Sukari
Hahahahha Aksante Mtani.
Unstoppable [emoji1][emoji1][emoji1]Mnyamaaa
Wacha kabisa na dua zangu zote leo ni kwa Ntibwa. Hahahaaaaa.Hahahahaaa, kama nakuona vile pressure ilivokua juu....mwaka huu mtaisoma