Jamhuri, Morogoro: Mtibwa FC 0 -1 Simba SC, Ligi Kuu Soka Tanzania Bara

Jamhuri, Morogoro: Mtibwa FC 0 -1 Simba SC, Ligi Kuu Soka Tanzania Bara

Kiboko yaoooooooo
20180409_170008.jpg
 
Jangwani mna roho ngumu sana, yaani picha iko waazi kabisa lakini hamtaki kukubali, haya subirini tuwaonyeshe kazi maana leo mmehamia Mtibwa Sukari
Hahaaaa. Picha ipi Ses, yaani Point 03 ndio tuamini kwamba mshakuwa mabingwa jamaani. Wakati ligi bado.

Ila sio siri leo niko Ntibwa kabisaaa mieeeee.
 
Back
Top Bottom