Jamhuri Morogoro: Mtibwa vs Simba hakuna mbabe

Inatia mashaka kutowaona wachezaji waliosajiliwa kwa mbwembwe nyiiingiiiii!
kagera haanzishwi ...tunategemea Chama na Boko tu upande wa striker ..!
Huu ndio wakati wa kujenga timu ...Novemba bado wiki tano tu!tuanze kukutana na wanaume!
Nina mashaka na mipango ya Kocha.
Huu ndio wakati wa kuwaajaribu BWALYA na Mwigulu!
 
Yaani Ribiti Imekazwa Kwa Konde Boy Na Chama...

Hatuoni WAKITEMBEA...
Hatuoni WAKIDAMBWIKA...😁😁
 
Nataka nimwone huyo namba tisa Mugalu. Maana naona anazurula tu. Namba tisa wa kimataifa anaishia benchi..!
Aliyewakuta wako form mkuu.. Inaitaji muda yeye kuingia kwa kikosi
 
Huyu mzamiru huyu atakaa simba kwa misimu mingine mitano
 
Yule dogo white wenu vipi[emoji848]?
Achana na mambo ya Yanga, hapa tunaizungumzia simba. Pia ujue umuhimu wa namba tisa.
Yanga tisa wao Sapong anacheza na analeta matokeo.
Azam tisa wao Prince Dube nadhani unaiona shughuri yake.
Huyu wetu wa Simba naona anazurula tu.
Da Silva naye mlikuwa mnasema hivihivi hadi ameondoka.
Namba tisa lazima ajitambulishe na kukinukisha mapema tu.
Tunamtaka Mugalu acheze tumwone kama ni namba tisa kweli.
 
Hii mechi ya pili tangu ligi ianze tayari lawama inaanza wakati timu itashinda . Tunasahau kuna mechi 38 za ligi, za FA, na kimataifa

Subira yavuta heri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…