Jamhuri Morogoro: Mtibwa vs Simba hakuna mbabe

Viongozi wetu ni wapuuzi mno. Tunamuacha Miachael Sarpong tunaenda kumchukua mchoma mkaa Magulu.

Nikiona Magulu anacheza sioni tofauti yake na Elias Maguli.
Ha ha ha ha eti magulu
 
Kulikuwa na pre season?
Ulisikiliza interview yake ya juzi?
Mkuu simba imeanza maandilizi mapema na mechi za kirafiki,hata mpira wa leo sio ule wao wa kutuliza na kuleta presha za ushambulizi,walikuwa wanafanya pasi ndefu ,bocco alitakiwa atokee sub siyo kumaliza mchezo ,kagere kucheza mda mfupi anacost team ,mabeki bado hawako organized na sijui kwanini kawaacha wachezaji kama kina bwalya, wawa na Mugalu
 
Nasikia mmezindua Sare hukooo a.k.a madela
 
Mkuu unajua tunamlaumu kocha bila sababu...
Kuhusu mabeki...
Last season mabeki walikuwa Wawa na Kennedy, wawa kachelewa kuja na unajua,( katoka kuoa, najua utasema mbona miquison na yeye kachelewa we mwenyewe umemuona bado hajawa form).

Kuhusu pasi ndefu mkuu uwanja hausapoti kuweka mpira chini.

Kuhusu Kagere, we mwenyewe umeona kwa dakika20s walizocheza pamoja nani ana impact....

Kuhusu mugalu na bwalya, bado mkuu ndo kwanza mechi ya pili tusubiri tuone hizi mechi za kwanza ugenini zina tension.....sio rahisi kumpa mtu ambaye haijui ligi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…