Jamhuri Morogoro: Mtibwa vs Simba hakuna mbabe

Jamhuri Morogoro: Mtibwa vs Simba hakuna mbabe

Over, Over, mikia, mikia, mikia, Over, mbona sikupati vizuri, unasema mumeshinda ngapii?
 
Yule mwizi wa magari kashakuwa raia wa kawaida sasa anazulula tu.
 
Na Eymael akapigilia msumari πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣 Mtani kumbe huu uzi unaufuatilia kwa ukaribu eee. 🀣🀣🀣

Chongeni na leo sisi tupo kuwasikiliza. 🀣
 
Mizee imetoa sare
Oktoba 18 wakimpanga Morrison lazima awachome mikia...atageuka na kuwafunga...wakidhani ni bahati mbaya atageuka na kuwafunga tena Cha pili...usiichezee Yanga....Morrison hawezi kucheza hapo mikia...awaulize Gadiel, Kakolanya na Ajibu...katika historia hakuna mchezaji aliyewahi kutoka Yanga kwa mikwara na akaenda Simba akapata mafanikio...hakuna mchezaji wa aina hiyo...Morrison ndiyo basi tena...
 
🀣🀣🀣 Mtani kumbe huu uzi unaufuatilia kwa ukaribu eee. 🀣🀣🀣

Chongeni na leo sisi tupo kuwasikiliza. 🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ humu nimepiga kambi leo na kesho 🀣
 
Sana yaani.

Walijua Yanga tu ndo saizi yake kupata sare cha ajabu wameanza kusingizia eti sare ya ugenini haifanani na ya nyumbani mbona wakipata ushindi hawaongei.
Hawakosi sabaabu hao mbumbumbu fc....

Game ijayo watabadili kikosi tena wakishtuka saree
 
Back
Top Bottom