Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Na Eymael akapigilia msumari πππOoh. Umelijua hilo leo kwamba sare pia ni matokeo eee?
Kweli Rage hakukosea. πππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Eymael akapigilia msumari πππOoh. Umelijua hilo leo kwamba sare pia ni matokeo eee?
Kweli Rage hakukosea. πππ
Usichonge Sana kumbuka Amri Said anakusubir dimban.
Sare pia ni matokeo
Yanga ndo zenu kufurahia sare, ziwe zenu au za wengine πππOver,,,,, Over,,,,,,, mikia, mikia, mikia, Over,,, mbona sikupati vizuri, unasema mumeshinda ngapii?
π€£π€£π€£ Mtani kumbe huu uzi unaufuatilia kwa ukaribu eee. π€£π€£π€£Na Eymael akapigilia msumari πππ
Oktoba 18 wakimpanga Morrison lazima awachome mikia...atageuka na kuwafunga...wakidhani ni bahati mbaya atageuka na kuwafunga tena Cha pili...usiichezee Yanga....Morrison hawezi kucheza hapo mikia...awaulize Gadiel, Kakolanya na Ajibu...katika historia hakuna mchezaji aliyewahi kutoka Yanga kwa mikwara na akaenda Simba akapata mafanikio...hakuna mchezaji wa aina hiyo...Morrison ndiyo basi tena...Mizee imetoa sare
Wangemuingiza Barbara akawafungie la pili. πππBaada ya kumchukua Morisson mje mumchukue na Kaseke
Luc hakukosea kuwaita Nyani ujue siyo kwa kiherehere hichoOoh. Umelijua hilo leo kwamba sare pia ni matokeo eee?
Kweli Rage hakukosea. πππ
Kumbe sare inauma namna hiyo. Pole sana.Luc hakukosea kuwaita Nyani ujue siyo kwa kiherehere hicho
πππ humu nimepiga kambi leo na kesho π€£π€£π€£π€£ Mtani kumbe huu uzi unaufuatilia kwa ukaribu eee. π€£π€£π€£
Chongeni na leo sisi tupo kuwasikiliza. π€£
Kwani nyie mshashinda tayari mtani!??Kumbe sare inauma eeeee. Pole sana.
Naona kuna mwenzio ameshapanic utadhani mi nilikuwa refa. πππππππ humu nimepiga kambi leo na kesho π€£
Yanga mnapenda sana sareKumbe sare inauma namna hiyo. Pole sana.
#Hakuna aijuaye kesho.
Tunazungumzia yaliyofanyia leo Mtani.Kwani nyie mshashinda tayari mtani!??
Hawakosi sabaabu hao mbumbumbu fc....Sana yaani.
Walijua Yanga tu ndo saizi yake kupata sare cha ajabu wameanza kusingizia eti sare ya ugenini haifanani na ya nyumbani mbona wakipata ushindi hawaongei.
Yanga au Simba?Yanga mnapenda sana sare