Jamhuri Morogoro: Mtibwa vs Simba hakuna mbabe

Jamhuri Morogoro: Mtibwa vs Simba hakuna mbabe

Timu inacheza na kushinda kwa uwezo wa wachezaji na si uwezo wa kocha ,huyu kocha ni useless kabisa,wachezaji bora tulio nao ndo wanasaidia timu ila sio huyu kishingo
naunga mkono hoja mkuu anapanga kikosi kwa kukariri co kwa jitihada mazoezin hamna kitu pale
 
Tulia, tena wewe una kelele nyingi sana, sasa ni muda wa kuonyeshana makali
Kocha bado hawajapata Xl nzuri anazingua,kwanza huu mpira wa pasi ndefu kama yanga simba wametoa wapi,si style yetu ya mchezo
 
Ila Leo Simba wameboa sana wale watoto wa Mtibwa walikuwa wanawafanya wanavyotaka mara wawavishe vikoi mara taulo. Kama Triple C ndio kavishwa vitaulo vingi.
Kama Mwamedi alivikwa kanga, wachezaji kuvikwa vikoi kuna shida gani?
 
Msimu uliopita mlianza mechi zenu nyingi taifa sababu hamkuwa na pesa ya kusafirisha timu mkoani mkawa mnaongoza mnajiona tayari mabingwa.
Mechi ya kwanza kutoka nje mkapigwa na mwadui kocha wenu akaanza visingizio vya viwanja subirini mtoke nje ya Dar muone shuguri yake.
 
Mi nadhani tuongelee ile mechi ya 4-1 Tuichambue kiundani maana huu ndio muda sahihi wote mpo maana siku ile sikuona mshabiki wa yanga yeyote akiwa online
Kwasababu unaonekana unapenda sana historia, hebu tuzungumzie na historia ya biashara ya utumwa 😡
 
Back
Top Bottom