Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Jamhuri Ni nchi ambayo inaongozwa na Rais pamoja na washauri wake wachache. Tofauti na monarchy ambapo mfalme hataki washauri.
Republic siyo democracy. Republic ni mean kati ya autocracy na mobocracy(which is democracy).
Lakini jambo moja amesema Hegel,nyuma ya kila taifa ipo Nguvu fulani inaliongoza taifa kufanya mema. Ni jambo pia amesema Adam Smith,kwamba there is an Invisible Hand working behind our backs and despite our intentions,leading us to do good
Kant pia alikuwa na mawazo haya.
Kwa maana ya Mungu yupo nyuma ya kila Taifa. That is the first lesson of political science. Ndio maana hatusikii kuhusu siasa. Tunasikia tu kuhusu maendeleo na flyover.