T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,101
- 4,560
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa, nitaanza kufanyia taggingUwe unanitag
Ohhh yeah.Natumai utafanikisha kutimiza malengo yako kwa Colombia na Chile. Colombia Virtual Tour Jamhuri ya Colombia | República de Colombia
-
Moja ya maajabu ya Atacama ni jua wakati mwingine kuonekana lenye rangi ya bluu.
Absolutely, that's great for sure 😊Ohhh yeah.
Most of the time I do fulfill my dreams. Thanks though.
Ngoja nipitie na huu uzi wa Colombia
Sawa, nitafanya hivyo ✊Akhsante kaka kwa makala murua.
Mwisho wa siku usisahau kutuletea ya Canada na United States.
Hello, kaka umetokea mkoa gani katika Chile?
Hakika, Mungu atuongoze na kutufikisha mbali zaidi. Umeandika sentensi fupi kwa isia 😳
Hapana, bado kakaMkuu umewahi kufika nchi hii nini?
😃 Sawa, Mzalendo HalisiMkuu wewe ni jembe
Kaka nimeuliza hivyo maana wapo wenye asili ya Chile ndani ya mkoa fulani Tanzania.Katavi kaka
Raia wa Afrika Mashiriki wanatakiwa kuwa na VISA, utaweza kufanya mchakato wa Visa kwa kutumia mtandao au kupitia balozi ya Chile nchini Kenya, Afrika Kusini, Masr Au Morocco.Utaratibu wa Visa ya Chile upoje?