Jamhuri ya Chile | República de Chile

Jamhuri ya Chile | República de Chile

Shukran mkuu kwa uzi bora
Ni matumain yangu kama taifa siku moja tutafika huko
 
Utaratibu wa Visa ya Chile upoje?
Raia wa Afrika Mashiriki wanatakiwa kuwa na VISA, utaweza kufanya mchakato wa Visa kwa kutumia mtandao au kupitia balozi ya Chile nchini Kenya, Afrika Kusini, Masr Au Morocco.

Pia unaweza kuomba msaada wa kuunganisha kupitia balozi ya Brasil nchini Tanzania ambao watakuunganisha ufikapo Brasilia, Rio de Jeneiro au São Paulo.

Kupitia mchakato unaofahamika Kama Tarjeta de Turismo utaweza kuomba kibali cha utalii ndani ya Chile pasi ya hata kuwa na pasi ya kusafiria.
 
Back
Top Bottom