Northman
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 1,587
- 2,516
Mkuu walipotoka katika uislamu wameenda wapi? au wamekua wakristo?Mashia si ktk waislamu
Wameshatoka ktk uislamu cku nying
Hakuna ulamaa hata mmoja ambae anawatetea ktk maovu na uzushi wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu walipotoka katika uislamu wameenda wapi? au wamekua wakristo?Mashia si ktk waislamu
Wameshatoka ktk uislamu cku nying
Hakuna ulamaa hata mmoja ambae anawatetea ktk maovu na uzushi wao
Eti washia na wahabia duh!Write your reply...ukiona muislam anang'ang'ana eti sijui washia sio waislamu ujue huyo ni wale wavaa surual fupi a.k.a wahabia,na ukiwa karibu nae huyo ukae nae kwa makini sana,maana hawa ni hardliner,hachelewi kukufyeka kichwa au kujilipua,na huo ndo ujinga walio nao baadhi ya hawa extremist
Asa si umjibu kama unajua yeye afahamuJapokuwa umenijibu kihuni kwa kauli yako ya mwisho. Sitakujibu kihuni,fatilia mitandaoni au endelea kuwauliza watu zaidi na zaidi.
Yaani sio lazima uende Tehran. Wewe komaa kama unataka kuujua ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kusoma maoni utaona majibu yangu kwake !Asa si umjibu kama unajua yeye afahamu
Kaka bora ungepita kimya kimya aisee,kuliko kuandika ujinga uliouandika sasa.
Dini si ya mtu fulani wala kabila fulani. Wasemao hivyo ni wachache wa elimu,leo hii dini imeleta heshima na utu,mgawanyo wa majukimu na mfano wake.
Uafrika hauna jipya zaidi ya mipaka,ila binadami ni yule yule tu,tumekuwa mataifa na makabila tofauti ili tufahamiane wala si huyu kujiona bora kuliko yule.
Wewe ndio miongoni mwa wale wasio na akili ila mimo niko dhidi yako.
mpuuzi huyo hajaui lolote.Sasa nifatilie wapi mkuu zaidi ya kwenye vyombo vya habari? Au niende Tehran?
Kwamujibu wa nani mkuu?? Tunaomba ufafanuziNakazia tu kuvamiwa kwa Iran ndiyo mwisho wa Uhuru kwa Binadamu.
Mkuu kwanini chuki ya wairani iwe ni coz wao ni waislamu na waisrael ni wayahud, mbona isiwe na chuki na mataifa mengine yasio ya kiislamu kama China na Korea ? Na imejikita Israel ambayo umesema IPO vema kijeshi duniani, ingeanza na nchi dhaifu labda. Nakubaliana naww kwamba msingi wa chuki ni dini ila wairani na hizblaah wanawatetea wapalestina ambao ni waislamu wasinyanyaswe na waisrael, ikumbukwe waisrael walifika mashariki ya kati wakitokea ulaya mnamo 1948 kama sikosei wakisaidiwa na USA na washirika wake, hata huo uwezo wa kivita unatoka UsA, wanajuana wenyewe ya chini ya kapeti(USA&Israel). Kwamujibu wa waislamu uislamu ulikuwepo hata kabla ya Muhammad yaani tangia enzi za adamu na hawa, sawa pale yelusalemu Luna msikiti mtukufu, kibla cha kwanza cha waislamu kilijengwa na Ibrahim, ( kibla ni eneo au mahala ambapo waislamu duniani pote hueleke, kwasasa kipo saudia Arabia, Kyle wanaendaga kuhiji,,) so tatizo Iran ni kulinda sehemu yenye historia ibaki kwa waislamu,Wacha nikujibu maana mimi ni mtu nilieyetembea hao mataifa ya israel na syria na pia najua mengi kuhusu iran ila sijawi fika hapo- kwanza ndio kiongozi wa iran wa ndini ayatollah ana nguvu na mamulaka zaidi ya raisi wa taifa la iran,kama hata bunge likipitisa sheria asipoweka sahini signature huyu ayatollah kiongozi wa deni hio sheria haitakuwa sheria. kuhusu nini shinda ya israel na iran, hizi taifa 2 hazijawahi kupigani ila chuki ya wana iran kwa wayahudi israel ni ya kuwa wao iran ni waislamu na israel ni wayahudi na hivyo klla mara iran inapiga kelele death to israel, wanaita israel the small satan , na pia hao iran ndio wanapatia hela wale magaidi wako lebanon ambao wanaitwa HEZBOLLAH, na hao magaidi wanarusha makombora hadi israel kiongozi wao anaitwa NASHRAH. la 3 sababu iran ni adui wa isreal ndio israel haiwezi ruhusu iran iweke zana zake za kivita hapo syria, maana nia ya iran ni kuiangamiza wana israel, na ndio sababu kamwe isreal haitakubali kamwe iran iweke watu wake hapo syria, na israel tayari imeua wana iran wengi sana wanajeshi ambao walikuwa wako hapo syria.kumbuka taifa lenye uwezo mkubwa zaidi wa kijeshi duniani ni----ISRAEL. nafikiri nimekujibu ya kutosha, kaa hujatoseka uliza tu kila hujaelewa mkuu, baraka tele.
Wewe ni kilaza wa hali ya juu.Nimeingiwa na huruma ya kielimu kwa mbali. Nataka nikupe ishara ya kukusaidia,kwa mtindo huu.
Hivi ushawahi kusikia mataifa ya kiislamu yaituhumu au yakiwa dhidi ya Irani ?
Kama hujawahi kuisikia basi vyanzo vyako vitakuwa vina dosari sana.
Iko wazi taifa la Irani liko chini ya USHIA. Je unaujua USHIA ?
Ukinijibu maswali haya machache na rahisi sana. Kuna mwongozo nitakupa,lazima tuwe na tabia ya kuchakarika katika kuutafuta ukweli.
Huyu ni mkata suruali wakujilipuaUpo kinyume na ukweli. Onyesha uislamu wa Ushia uko wapi ?
Best answer that deserves the clapKiongozi wa wa kidini wa Iran kwa sasa Ayatullah Khamenei ndio mwenye mamlaka makubwa kiutawala/kidini kuliko Raisi wa irani.
Ugomvi wa Iran na Israel unatokana na Israel kuikalia kimabavu ardhi ya Palestine.
Israel haitaki Iran iimarishe ngome yake kijeshi nchini Syria kwa sababu wanaona ni tishio kwao kiusalama na hawataki Iran ijiimarishe kimataifa.
Uzushi wenye mapembe huoNakazia tu kuvamiwa kwa Iran ndiyo mwisho wa Uhuru kwa Binadamu.
Yaani ww ndo jinga kuliko woteLengo langu si kuleta mtafaruku isipokuwa ni kutanabaisha hii ikhtilafu iliyopo baina ya hii mada.
Shia katika sala, sala yao huwa tofauti na Sunni kuanzia katika adhana, udhu, qibla na sala.
Kuhusu Qur'an Shia wanasema Qur'an wanayotumia Sunni haijakamilika na wana mas' hafu yao wakati Sunni wanasema Qur'an wanyoitumia imekamilika.
Shia kwao Muhammad s.a.w hakustahili Utume Bali Utume ulikuwa ni haki ya Ally wakati Sunni Muhammad ni Mtume na Ally ni sahaba.
Qibla cha kusalia cha Sunni kipo Makkah Saudi Arabia wakati Shia kipo Karbala Iraq.
Shahada kwa Sunni zipo mbili kwa Shia zipo tatu.
Hayo ni baadhi ambayo Sunni na Shia wanatofautiana. Muhimu ni kuelimishana kama kweli imethibiti mmoja wao hayupo sahihi na wala si kudharauliana au kukejeliana kwani hayo ya kudharauliana au kutoa lugha kali, chafu, Mtume ameyakataza na Qur'an vilevile imekataza.
Ndani ya Sunni vilevile kuna ikhtilafu kuna Salafi ambao wanawaambia wenzao katika wao ninyi ni watu wa bida'a( waliyozusha mambo katika dini) na wengine katika wao wanawaambia ninyi ni waharibifu katika dini.
Jifunze kwanza kuandika halafu ndio uelezee imani yakoWacha nikujibu maana mimi ni mtu nilieyetembea hao mataifa ya israel na syria na pia najua mengi kuhusu iran ila sijawi fika hapo- kwanza ndio kiongozi wa iran wa ndini ayatollah ana nguvu na mamulaka zaidi ya raisi wa taifa la iran,kama hata bunge likipitisa sheria asipoweka sahini signature huyu ayatollah kiongozi wa deni hio sheria haitakuwa sheria. kuhusu nini shinda ya israel na iran, hizi taifa 2 hazijawahi kupigani ila chuki ya wana iran kwa wayahudi israel ni ya kuwa wao iran ni waislamu na israel ni wayahudi na hivyo klla mara iran inapiga kelele death to israel, wanaita israel the small satan , na pia hao iran ndio wanapatia hela wale magaidi wako lebanon ambao wanaitwa HEZBOLLAH, na hao magaidi wanarusha makombora hadi israel kiongozi wao anaitwa NASHRAH. la 3 sababu iran ni adui wa isreal ndio israel haiwezi ruhusu iran iweke zana zake za kivita hapo syria, maana nia ya iran ni kuiangamiza wana israel, na ndio sababu kamwe isreal haitakubali kamwe iran iweke watu wake hapo syria, na israel tayari imeua wana iran wengi sana wanajeshi ambao walikuwa wako hapo syria.kumbuka taifa lenye uwezo mkubwa zaidi wa kijeshi duniani ni----ISRAEL. nafikiri nimekujibu ya kutosha, kaa hujatoseka uliza tu kila hujaelewa mkuu, baraka tele.
Wewe niKwahiyo hujui kama dola ya Irani iko chini ya Mashia si ndio ?
Dola ile iko chini ya mashia muasisi wa dola ile anaitwa Khomeini na wasasa anaitwa Ali Khamenei.
Ushia si uislamu.
Sasa nakuuliza swali la mwisho ili nikamilishe msaada wangu kwako.
Wewe ni muislamu ?
Mtume alisema akifa yeye ukalifa apewe AliBro hujui chochote katika ushia wala uislamu.
Unajua mabinti wangapi wa mtume amewaozesha maswahaba wake ambao mashia wanawatukana na kuwakufurisha ?
Halafu kuozwa sio sababu ya kuhitimisha ya kuwa Ali ndio alitakiwa kuwa mrithi wa mtume baada yake.
Kadhalika Ali mtume hakuacha wasia ya kuwa Ali ndio awe mrithi wake,kama ingekuwa hivyo hata Ali angelisema hilo na kuwaambia maswahaba wenzake.
Kadhalika hakuna maswahaba waliopanga kuuwa kizazi cha mtume. Mathalani Hussein mjukuu wa mtume aliuliwa na mashia wenyewe waliojidai wanampenda sana yeye na kizazi cha mtume.
Ukifatilia kizazi cha Ali ili kudhihirisha madai ya mashia kuwa ni ya uongo,kuna mtoto wake amempa jina la swahaba Abubakr au Umar kama sikosei ambao maswahaba hawa kwa mashia wanawasema ni makafiri.
Hizo ni dondoo tu kwa ufupi. Wa ila nina swali la msingi,je unajua asili ya USHIA ?
Na unajua yale mashia waliyoyafanya katika dola ya Swafawiyya ?
Kama hujui hili uko uaminifu wako katika elimu ?
Mapya kwa mtu ambaye hana elimu yaHaya maaapyaa
Thibitisha haya madai yako ikiwa weweUislamu hauishii hapo tu bro. Ushia si uislamu sababu unakwenda kinyume na misingi ya uislamu.
Naanza na hii,huwezi kuwa muislamu bila shahada,hii inaeleweka wazi. Shahada ina sehemu mbili kukubaki na kukanusha,na ni kwa Allah na mtume wake. Tafuta shahada ya mashia kisha uwaulize shahada hiyo wameipata,wakikupa ushahidi Allah aniangamize.
Mashia kwao wao maimamu wao ni maasumu,yaani wamekingwa na makosa kwa maana hawakosei,huu ni msingi katika dini ya ushia. Msingi huu unaenda kinyume na uislamu. Hakuna binadamu asie kosea.
Mashia wanawatukana maswahaba wa mtume,maswahaba ambao Allah amewaridhia na kuwakubali.
Na kuna mengi,mashia wanasema kuenda kuzuru kaburi la hussein karbala ni bora kuliko kwenda hija mara kadhaa,huku ni kinyume na nguzo za kiislamu.
Bro ushia asili yake ni uyahudi,kuna mambo mengi sana yanayoutoa ushia katika uislamu. Kwa ufuoi nakomea hapa.