Jamhuri ya Kiislam ya Iran

Mashia si ktk waislamu
Wameshatoka ktk uislamu cku nying

Hakuna ulamaa hata mmoja ambae anawatetea ktk maovu na uzushi wao
Mkuu walipotoka katika uislamu wameenda wapi? au wamekua wakristo?
 
Eti washia na wahabia duh!
 

dini ipi iko kwa utu?????
DINI IMEJENGWA KWENYE MISINGI YA HOFU...
MUNGU WA SAUDI ARABIA AU VATICAN AU JERUSALEM HANA FAIDA WALA IMPACT YOYOYE KWENYE MAISHA YAKO....
HOFU TU IMETUTAWALA
 

Attachments

  • honeyman_dan_-20180907-0001.jpg
    44.1 KB · Views: 29
Mkuu kwanini chuki ya wairani iwe ni coz wao ni waislamu na waisrael ni wayahud, mbona isiwe na chuki na mataifa mengine yasio ya kiislamu kama China na Korea ? Na imejikita Israel ambayo umesema IPO vema kijeshi duniani, ingeanza na nchi dhaifu labda. Nakubaliana naww kwamba msingi wa chuki ni dini ila wairani na hizblaah wanawatetea wapalestina ambao ni waislamu wasinyanyaswe na waisrael, ikumbukwe waisrael walifika mashariki ya kati wakitokea ulaya mnamo 1948 kama sikosei wakisaidiwa na USA na washirika wake, hata huo uwezo wa kivita unatoka UsA, wanajuana wenyewe ya chini ya kapeti(USA&Israel). Kwamujibu wa waislamu uislamu ulikuwepo hata kabla ya Muhammad yaani tangia enzi za adamu na hawa, sawa pale yelusalemu Luna msikiti mtukufu, kibla cha kwanza cha waislamu kilijengwa na Ibrahim, ( kibla ni eneo au mahala ambapo waislamu duniani pote hueleke, kwasasa kipo saudia Arabia, Kyle wanaendaga kuhiji,,) so tatizo Iran ni kulinda sehemu yenye historia ibaki kwa waislamu,
 
Wewe ni kilaza wa hali ya juu.
Kwani shia na sunni si madhehebu tu ya dini ya kiislamu .
 
Best answer that deserves the clap
 
Yaani ww ndo jinga kuliko wote
Pumba tupu
 
Jifunze kwanza kuandika halafu ndio uelezee imani yako
 
Wewe ni
wahabi
Gaidi
Isils
Alqaeda

Ndo maana unadai
Iran eti si waislamu
 
Mtume alisema akifa yeye ukalifa apewe Ali
Na akamuozesha Ali binti yake wa pekee Fatima zehraa.
Masahaba baadhi Yao walikua na mpango wao wa siri mpaka wakamdhulum Ali
Ukhalifa.
 
Thibitisha haya madai yako ikiwa wewe
Ni mkweli na atutaki kwamba nimesikia kwa shehe porojo mvaa vipedo
Tupe ushahidi ambao una sound.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…