Daud Hassan
Senior Member
- Jul 12, 2018
- 182
- 240
Eti hakuna dola ya kiislamu kama Sauuudia?Bro humjui mshia wewe,mashia wana kitu kinaitwa Taqiyya na ukitaka kuwajua mashia soma vitabu vyao vya asili. Unaijua dola ya Swafawiyya ?
Hakuna hapa duniani dola inayofata uislamu na kuusimamia kuliko saudia.
Sitaki kuleta mjadala ndani ya mjadala ila nimekupa akiba ya maneno na ziada yake.
Ipi imani yako juu ya mungu mwenye uwezo wa kila kitudini ipi iko kwa utu?????
DINI IMEJENGWA KWENYE MISINGI YA HOFU...
MUNGU WA SAUDI ARABIA AU VATICAN AU JERUSALEM HANA FAIDA WALA IMPACT YOYOYE KWENYE MAISHA YAKO....
HOFU TU IMETUTAWALA
Watu kama nyinyi huwa siwajibu. Unaniambia mimi kilaza halafu unachokiandika kinakuwa dhidi yako.Wewe ni kilaza wa hali ya juu.
Kwani shia na sunni si madhehebu tu ya dini ya kiislamu .
Huyu ni mkata suruali wakujilipua
Hawezi kukubali kuwa Irani ni waislamu
Wewe ni
wahabi
Gaidi
Isils
Alqaeda
Ndo maana unadai
Iran eti si waislamu
Mtume alisema akifa yeye ukalifa apewe Ali
Na akamuozesha Ali binti yake wa pekee Fatima zehraa.
Masahaba baadhi Yao walikua na mpango wao wa siri mpaka wakamdhulum Ali
Ukhalifa.
Unamjua Abdullah Ibn Sabai ?Thibitisha haya madai yako ikiwa wewe
Ni mkweli na atutaki kwamba nimesikia kwa shehe porojo mvaa vipedo
Tupe ushahidi ambao una sound.
Bro hujui chochote kuihusu saudia.Eti hakuna dola ya kiislamu kama Sauuudia?
Saudia ambayo :
1.Wanaua watoto wa shule Yemen
2.Wanasapoti magaidi wa alqaeda
3.Wanaeneza Imani ya chuki dhidi ya waislamu wengine
4.Wanakumbatia maadui wa uislamu kama USA na israeeli
Uislamu wa hao saaudia uko wapi hapo?
Kushirikiana na makafir kuwadhulu waislamu hio ndio dini ya hao wanafiki wa ufalme wa sauadia .Bro hujui chochote kuihusu saudia.
Unajua Mahouthi walichokifanya Dammaj Yemeni ?
Hivi kushirikiana na makafikiri hairuhusiwi katika Uislamu bro ? Mbona unakuwa mpotoshaji ?
Jua kwamba utakuja kuulizwa na Allah juu ya haya unayoyaandika ?
Nipe ushahidi kama Saudia wanawaunga mkono al Qaida. Huwezi kuthibitisha hilo mpaka kiyama kinasimama.
Ubishi mwingine bwana, wao wenyewe wanajiita Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran, halafu mwarabu wa gongo lamboto unabisha; kazi sana!Kwanza hujajibu swali. Sababu nataka kuokoa muda na kukusaidia. Jua ya kuwa si Jamhuri ya Kiislamu. Sasa kuhusu kujua ni Jamhuri ya nini ni jukumu lako kufatilia kama ukivyofatilia na kuona ya kuwa ni Jamhuri ya Kiislamu.
Kama hujufatilia na umesema kama visemavyo vyombo vya habri,hilo ni tatizo lako na unatakiwa uanze sasa kufatilia hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari yako brother,Yaani ww ndo jinga kuliko wote
Pumba tupu
Sioni ata kimoja ambacho kina ukweli katika madai yako haya niHabari yako brother,
kama mwanzo nilivyotangulia kusema kwa kuandika sipo hapa kwa lengo la kukuza ikhtilaf au hawa ni bora kuliko hawa la hasha! Sipo kwa muktadha huo. Bali nipo hapa kueleza kwa kile kilichoibuka kuhusu Ushia na Ussuni.
Unamfahamu Abdillah bin Saabah? Sahaba aliyesilimu kwa Mtume? Lakini alisilimu kiunafaki? Vipi kuhusiana na Hudhayfah ibn Al' Yaman, unamfahamu huyu,ambaye alikuwa ni msiri wa Mtume s.a.w alipewa orodha ya majina ya wanafiq wote kutoka kwa Muhammad s.a.w.
Mtume s.a.w anasema masahaba wake hawa wakuu wa 4 ( Abuu bakr, Umar, Othman na Ally) ni kama nyota hawa. Yeyoye atakaye wafuata ameongoka. Je, unafahamu juu ya hawa Masahaba Shia wanawapokeaje? Kuanzia Abu bakr, Umar na bila shaka Uthman, Shia hawa wanasema ni Laanutullah tena huwa wanadhimisha mpaka na masiku ya kuwalaani. Unafahamu haya?
Unafahamu Shia wanasemaje juu ya mke wa Mtume naye ni mama Aisha wao wanamuita Malaya. Unafahamu hili?
Suratul Baqarah aya ya ii Mungu anasema " Dhalikal kitabu la rayba fiiiih" kwa maana Qur'an haina shaka ndani yake na anayesema hivyo ni Mungu mwenyewe lakini kwa ndugu zetu Shia wanasema Qur'an wanayoitumia watu hii siyo, hii ina mashaka iliyosahii ni yao inaitwa mas' haf fatmah, unajua hili.
Muhammad wahuwa nabiyyan warasuulah naye ni mtume wa mwisho na katika juu ya hilo shahada zipo mbili tu " Ash' hadu anlaa ilaha illa llah" hiyo ni ya kwanza " Wa' ash' hadu annamuhammad rrasuulullah" hii ni ya pili na ndivyo zipo hivyo. Upande wa Shia zipo tatu katika hizo shahada kwa kinachoongezeka ni Ally( karamallahu wajha) Naye kwao ni Mtume huyu. Unafahamu hili?
Je, unajua Maimam 4, Imam Muhammad ibn Idrissatu Shafii, Imam Malik, Imam Muhammad ibn Hambali na Imam Abuu Hanifah wamewazungumziaje hawa Shia, unajua walichokizungumza? Na hawa Maimam hawajaja hivi hivi wametabiriwa hawa na Mtume.
Kwa kukuhabarisha kitabu cha ndugu zetu Shia Mimi nimebahatika kukisoma ni kimoja tu cha kwao wenyewe kama wenyewe na hayo niliyokuambia ni baadhi tu lakini hawa ndugu zetu vitabu vyao kuvipata na vigumu sana. Huwa vinapatikana katika maktaba za kwao na huruhusiwi kuingia mpaka uwe Shia, siyo uwe Muislam Bali uwe Shia tofauti na hapo hupati chochote na wanajuana hawa wana utaratibu wa wao kufahamiana.
Bado sijaja katika ikhtilaf za salafiyyu kuhusu bidaa na madh' hebu mengine. Ndugu yangu tusome.
Utume haurithiwi si ufalme ule.Mtume alisema akifa yeye ukalifa apewe Ali
Na akamuozesha Ali binti yake wa pekee Fatima zehraa.
Masahaba baadhi Yao walikua na mpango wao wa siri mpaka wakamdhulum Ali
Ukhalifa.
Kwanza Mimi naufuata mwenendo aliyoufuata Sheikh Abdulqaadir Jaylaan.Sioni ata kimoja ambacho kina ukweli katika madai yako haya ni
Uzushi uvumi na propaganda za wale wavaa vipedo tu.
Soma dini acha kukaa kwa sheik aliyepotea ukakubali akukalilishe hayo matango ulioandika hapo juu.
Do now before it's too late.
Shukran
Umetoa darsa mkuuHabari yako brother,
kama mwanzo nilivyotangulia kusema kwa kuandika sipo hapa kwa lengo la kukuza ikhtilaf au hawa ni bora kuliko hawa la hasha! Sipo kwa muktadha huo. Bali nipo hapa kueleza kwa kile kilichoibuka kuhusu Ushia na Ussuni.
Unamfahamu Abdillah bin Saabah? Sahaba aliyesilimu kwa Mtume? Lakini alisilimu kiunafaki? Vipi kuhusiana na Hudhayfah ibn Al' Yaman, unamfahamu huyu,ambaye alikuwa ni msiri wa Mtume s.a.w alipewa orodha ya majina ya wanafiq wote kutoka kwa Muhammad s.a.w.
Mtume s.a.w anasema masahaba wake hawa wakuu wa 4 ( Abuu bakr, Umar, Othman na Ally) ni kama nyota hawa. Yeyoye atakaye wafuata ameongoka. Je, unafahamu juu ya hawa Masahaba Shia wanawapokeaje? Kuanzia Abu bakr, Umar na bila shaka Uthman, Shia hawa wanasema ni Laanutullah tena huwa wanadhimisha mpaka na masiku ya kuwalaani. Unafahamu haya?
Unafahamu Shia wanasemaje juu ya mke wa Mtume naye ni mama Aisha wao wanamuita Malaya. Unafahamu hili?
Suratul Baqarah aya ya ii Mungu anasema " Dhalikal kitabu la rayba fiiiih" kwa maana Qur'an haina shaka ndani yake na anayesema hivyo ni Mungu mwenyewe lakini kwa ndugu zetu Shia wanasema Qur'an wanayoitumia watu hii siyo, hii ina mashaka iliyosahii ni yao inaitwa mas' haf fatmah, unajua hili.
Muhammad wahuwa nabiyyan warasuulah naye ni mtume wa mwisho na katika juu ya hilo shahada zipo mbili tu " Ash' hadu anlaa ilaha illa llah" hiyo ni ya kwanza " Wa' ash' hadu annamuhammad rrasuulullah" hii ni ya pili na ndivyo zipo hivyo. Upande wa Shia zipo tatu katika hizo shahada kwa kinachoongezeka ni Ally( karamallahu wajha) Naye kwao ni Mtume huyu. Unafahamu hili?
Je, unajua Maimam 4, Imam Muhammad ibn Idrissatu Shafii, Imam Malik, Imam Muhammad ibn Hambali na Imam Abuu Hanifah wamewazungumziaje hawa Shia, unajua walichokizungumza? Na hawa Maimam hawajaja hivi hivi wametabiriwa hawa na Mtume.
Kwa kukuhabarisha kitabu cha ndugu zetu Shia Mimi nimebahatika kukisoma ni kimoja tu cha kwao wenyewe kama wenyewe na hayo niliyokuambia ni baadhi tu lakini hawa ndugu zetu vitabu vyao kuvipata na vigumu sana. Huwa vinapatikana katika maktaba za kwao na huruhusiwi kuingia mpaka uwe Shia, siyo uwe Muislam Bali uwe Shia tofauti na hapo hupati chochote na wanajuana hawa wana utaratibu wa wao kufahamiana.
Bado sijaja katika ikhtilaf za salafiyyu kuhusu bidaa na madh' hebu mengine. Ndugu yangu tusome.
Kaka nenda Tehran tu maana ufanyeje sasa!Sasa nifatilie wapi mkuu zaidi ya kwenye vyombo vya habari? Au niende Tehran?
Wavaa vipedo hawana akili haoWenyewe wanajiita Jamuhuri ya Kiislamu halafu wengine tukatae kwa sababu ya ubaguzi tu wa Usuni na Ushia,that's so crazy. Ni kama Catholics waseme Lutherans sio Wakristo,kazi ya ku judge aachiwe Mungu(for believers).
Kwamba Iran ina nguvu kubwa ya kijeshi kumzidi marekani mkuu?Hii JAMHURI YA KIISLAM YA IRAN Habari zake kubwa sana Sheikh, wewe jua tu Bw. Mkubwa Mgambo wa dunia "usa" halali vizuri kwa sababu ya hii JAMHURI!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa nifatilie wapi mkuu zaidi ya kwenye vyombo vya habari? Au niende Tehran?