Jamhuri ya Kiislam ya Iran

sasa kuna haja gani ya kufuata dini ambayo ina jipinga pinga kiasi hicho khaaa "!!! Aisee mimi nililelewa kwenye mazingira", ya kiislam but tangu nione hizo contradiction niliamua kujiweka mbali nahuo upuuzi"" dini ni mbinu za watawala wa janja" wanaoitumia " kwaajili yakujipatia wepesi wakutawala watu "..nasio vinginevyo
 
saudia wametoka rushiwa mabomu na yemen jana tu mkuu" au wewe hulijui hilo"?? wasipigwe vita wao kinanani sasa ""??..=
 
hahaaa "
 
Bro nilichokisema nina kimaanisha,google ni changanyikeni mno,humo humo kuna ya kweli,ya uongo na yale ukiyaona kama ya kweli vile.

Bro wangapi wanachukua mambo ya uongo kupitia google na wakayaamini ?

Kuangalia wapi unachukua habari ni msingi katika kuhakiki habari.

Sasa bro utajua ukweli kama huna nyenzo za kuujua ukweli au kukufikisha katika kuujua ukweli ?

Kaka husemwa hivi " Ukiijua haki basi utawajua kina nani wenye haki". Kabla ya kufikia huko,kwanza inabidi uwajue wakina nani wanakupa habari.

Ukifatilia fitna za mwanzoni na machafuko tele zilianzia katika upokeaji wa habari bila kujua wapi zimetoka na upi ukweli wake.

Kaka aya yako ya mwisho imeonyesha ni jinsi gani huna mizani ya kuhukumu mambo,eti kwa kujiamini kabisa unasema mbona kimataifa inatambulika hivyo,huu ni utoto,mambo ya kielimu hayatolewi kwa makubaliano ya kimataifa au kwa kuegemea umataifa,elimu ni ukweli kama ulivyo wal si ukweli kama wauonavyo watu.

Nakukumbusha kitu moja kwetu sisi dini ndio maisha,dini ndio kila kitu huwezi kutenganisha dini na mienendo ya kimaisha.

Uliposema mimi ni nani ninakataa Irani sio dola ya kiislamu,umeonyesha udhaifu mkubwa sana ulionao juu ya kadhia hii. Bali umeonyesha udhaifu mkubwa wa kuuliza maswali,ulitakiwa uulize hivi " Uislamu unasemaje juu ya taifa la Irani au wanazuoni wakubwa waliokuzidi elimu wanasemaje juu ya taifa la Irani ?"
 
saudia wametoka rushiwa mabomu na yemen jana tu mkuu" au wewe hulijui hilo"?? wasipigwe vita wao kinanani sasa ""??..=
Hahahaha,sina taarifa bro,niambie hayo makambora yamerushwa wapi kuelekea wapi ?
 
Pia Usiwaamini sana Wairan ni Mandumilakuwili sana... haswa kwenye Biashara
 
  • Wanazuoni wakubwa kama nani wanaoikataa Iran!?.
  • Shia na Uislam vinatofautiana vipi na Sunni na Uislam?.
  • Mambo gani ya elimu yasiyo amulika/kubalika kimataifa!?.
  • Nipe vyanzo vya 'elimu' yako vinavyoikataa Irani kama jamhuri ya kiislamu na vinavyoukataa Ushia kama ni branch ya Islam.

PS: Google ni search engine sio website usitake kuhisi unaijua sana kuliko wote!. Hakuna jambo utakalo ambulia kupitia kuiponda google while kila mtu anajua kuna 'pumba' na 'mchele' google same to what you preach here!.

Niaminishe unachokisema ni sahihi, i will APOLOGIZE ASAP!.
 

Wacha nitofautuane na wewe kidogo, ingawa sijawahi kutembea , ANC na Mandela pia waliwahi kuitwa magaidi, mkuu hawa wamagharibi wana vigezo vyao ili kikundi kiitwe cha kigaidi siku hizi , lazima kiwe cha mrengo fulani, hii hutofautiana miaka na upepo wa Dunia uvumavyo.

Iran ina chuki na siiasa za kizayuni ambazo ni siasa 80% ya Israel, hawana chuki na wayahudi kama Kabila au dini , kwa maana wao pia wanao raia wenye asili ya kiyahudi na wanafata uyahudi na hamna shida Kati yao na serikali.

Siasa za kizayuni hata Wayahudi wengine wengi tena wapo Marekani pia wanazipinga , wanaenda mbele zaidi hata kukataa kuwepo taifa la Israel.

Irán ni Jamhuri ya kiislamu, sasa Sisi tukisema sio au ndio , ni kazi bure , maana hilo ndio jina lao RASMI, kama ilivyo nchi yetu , Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Sasa mtu akikataa na kusema vyengine, rasmi ni jina hilo.

Nasoma kupitia mjadala.
 
Sitaji majina kwa kulinda heshima zao. Wanazuoni wote wa kiislamu wanaikataa Irani sio taifa la kiislamu.

Bro unataka nikupe tofauti ya Ushia na Usuni,huu utoto ndio ambao huwa siutaki,sasa inakuwaje ung'ang'anie ya kuwa Irani ni taifa la kiislamu halafu usijue tofauti kati ya Shia na Sunni ? Hapa unatakiwa kunitaka radhi.

Hivi kwanini usingeanza katika hoja yako ya kwanza kuuliza ni ipi tofauti kati ya Shia na Sunni ?

Mambo ya kidini hayapimwi kwa itifaki ya kimataifa.

Qur'an,Sunna na kauli za waja wema.

Bro hujaelewa ninacho kiongelea,sijasema google ni tovuti,nimesema google unakuta ya kweli na ya uongo,ulitakiwa ujue kwamba hayo ya kweli hayajiweki bali yanawekwa na watu,na kila mtu ana malengo yake wapo wenye malengo ya kuharibu na wenye malengo ya kujenga.


Hapa sipo ili nikuaminishe bali mimi nina kupa kile kilichokuwa bora,sasa ni hiari yako kuchukua au kuniachia mwenyewe.
 
JAMII FORUM INATAKA WATU WANAOJUA NA WANAOWEZA KUWAJUZA WENGINE SIO MIKWALA NA MAJIGAMBO HAMJUI HUMU KUNA MPAKA WATU WA DARASA LA SABA SASA HAO WATAPAJE TAARIFA ZA KINA BILA KUPATA MANGULI WA UFAFANUZI AACHE UBINAFSI.
Wakipata mda sio mbaya kiongozi
 
Unafkir kwa kuita imani ya wengine 'Upuuzi' ndio itakufanya wewe uwe na akili sana?
Mm nafkir haukuwa na haja ya kutumia lugha ya namna hiyo.
 
Wewe unaonaje utakuwa umekosea au umepatia ?

Nimemalizana na wewe.

Walio kuja kwa busara na kielimu nimesha wakirimu.
Nimepaona hapo 'ulipowakirimia' waliokuja kwa busara...nakupongeza kwa kirma. Hicho ndio ulipaswa kufanya tangu awali, na sio kupandwa jazba kama beberu la mbuzi pori wa mlimani.

Fahamu kuwa, si rahisi kwa sisi tusio waislamu kujua tofauti ya yenu, yaani mnapishania wapi na nani ana haki miliki ya uislamu wenyewe.

Kwenye utambulisho wake wa kimataifa kana nchi, Iran imejitambulisha kama Jamhuri ya Kiislam ya Iran na upo uwezekano wao Washia wanasema Wasuni sio waislamu na wakaja pia na sababu lukuki. Wewe umetuambia Washia ni Wayahudi, lkn huku nje Wayahudi na Washia hawaivi...kuna walakini sehemu
 
Mayahudi na Mashia kuna sanaa tu zinazoendelea. Fatilia kwa umakini utaliona hili ninalokuambia.

Kwanza kaa ukijua mataifa mengi ya kimagharibi huwa wanawatumia mashia kama farasi katika kuufitini uislamu na mfano wake.
 
Mashia huwa hawana hoja zaidi ya kulalama. Utawasikia nyinyi Mawahabi mnatumiwa na wamagharibi ukiwaambia wlete ushahidi wanapotea wanakokujua wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…